Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuandamana maandamano ya amani, sio lazima kuandamana kwa kutembea kwa miguu tuu, unaweza kuandamana ukiwa ndani ya gari yako.Mimi nina tatizo la miguu, naweza kuandamana nikiwa kwenye gari langu/kiti mwendo ama lazima nitembee!!??
wewe huwezi maana huna unalolisimamia katika maisha yako bali tumbo! kesho cdm wakiingia madarakani utawaponda ccm and vice versaSio maajabu, hii ndio Tanzania mpya!. Tukutane rodini hiyo kesho.
P
Rukhsa kuwaza lolote kuhusu chochote kumhusu mtu yoyote!.wewe huwezi maana huna unalolisimamia katika maisha yako bali tumbo! kesho cdm wakiingia madarakani utawaponda ccm and vice versa
Be mindful of what people around you say about you!Rukhsa kuwaza lolote kuhusu chochote kumhusu mtu yoyote!.
P
Hamna Tanzania mpya, ni lugha za kuzubaisha watu wadhani Kuna Nia nje kumbe ni usanii kama usanii mwingine.Sio maajabu, hii ndio Tanzania mpya!. Tukutane rodini hiyo kesho.
P
Be positive, be optimistic, Mama is bonafide genuine!.Hamna Tanzania mpya, ni lugha za kuzubaisha watu wadhani Kuna Nia nje kumbe ni usanii kama usanii mwingine.
Sihitaji kuwa positive kwa matumaini, bali naangalia uhalisia. Hata miswaada iliyopelekwa bungeni inaenda kinyume na kinachohubiriwa mdomoni.Be positive, be optimistic, Mama is bonafide genuine!.
P
Nilishauri tuwe watu wa shukrani, tushukuru kwa yote mazuri na mabaya, hili la she doesn't practice what she preach, tumeisha mshauri Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya minimum reforms za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!.Sihitaji kuwa positive kwa matumaini, bali naangalia uhalisia. Hata miswaada iliyopelekwa bungeni inaenda kinyume na kinachohubiriwa mdomoni.
acha uoga wewe mnyonge wa magufuri...Chochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
Hili sio jambo routinely kama usiku na mchana au maji kupewa na kujaa, leo nikisema kesho Yoda atavaa nanilii Nyekundu, kesho yake ukavaa nanilii Nyekundu, hata kama umejivalia tuu, wala hukunisoma, mimi nakula point 3 zangu Ikitokea umeshauri mtu avae Hijab nyekundu, huyo mtu akavaa, utajisikiaje? Kwa hili, Big Up Rais Samia na Serikali yako kwa kuwa wasikivuHajasoma,usijipe umuhimu usiokuwa nao.
Maanake ni kwamba polisi wameshindwa kazi yao, warejeshwe majumbani kwao.Chochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
Kweli kabisa🔥🔥Chochote cha kihalifu endapo kitajitokeza nashauri " Iwe ni mwisho wa maandamano, na katiba iende kuondolewa kifungu kinachoruhusu maandamano" just simply....!
Tuwe na shukrani kwa lipi boss, kwa hizo 4R zake za ulaghai ama? Au tuwe na shukurani za kinafiki?Nilishauri tuwe watu wa shukrani, tushukuru kwa yote mazuri na mabaya, hili la she doesn't practice what she preach, tumeisha mshauri Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya minimum reforms za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!.
P
Hakuna kitu inaitwa maandamano ya magari, kama ilivyo hakuna mzururaji anayetumia gari.Kuandamana maandamano ya amani, sio lazima kuandamana kwa kutembea kwa miguu tuu, unaweza kuandamana ukiwa ndani ya gari yako.
Wanaanza watembea kwa miguu, wanafuata wenye maguta, mikokoteni, then baiskeli, wanafuata boda boda, bajaji mpaka wenye magari, kama Mei Mosi!.
P
tatizo la watanzania ni hili, people are not serious. Ona wewe sasa unaleta utani kweye mambo serious. Kwni huko uliko sukar ni bei gani? petrol? residentura mbona unaniangusha?
Uwezo na shukrani kwa madogo yote mliotendewa na huyu Mama!.Tuwe na shukrani kwa lipi boss, kwa hizo 4R zake za ulaghai ama? Au tuwe na shukurani za kinafiki?
Hatuhitaji hisani Paskali. Naona mnalazimisha watu waone wema kwenye haki zao. Tunahitaji haki, na sio hizo hisani zenye kubeba malengo ya siasa za ulaghai.Uwezo na shukrani kwa madogo yote mliotendewa na huyu Mama!.
P
Mkuu Tindo , kwanza naungana na wewe, haki ni kitu stahiki na sio hisani, ndio maana haki haiombwi na hauletewi kwenye kisahani cha chai!, haki hudaiwa na ikibidi hupiganiwa, na gharama zake sometimes hugharimiwa kwa machozi, jasho na damu!. - Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha hakiHatuhitaji hisani Paskali. Naona mnalazimisha watu waone wema kwenye haki zao. Tunahitaji haki, na sio hizo hisani zenye kubeba malengo ya siasa za ulaghai.