Ni kwa ajili ya katiba mpya,hii si hitaji la CDM,ni hitaji la wananchi,Katiba hii ilipoandikwa mwaka 1977 ni dhahiri kwamba hata 30% ya population (population ilikuwa 17m)haikuwa imezaliwa,kuna shida gani watu kuulizwa na kuchangia mawazo wanataka waongozweje???Kama wanataka kuburuzwa tutajua kwenye mchakato,kwa nini hamtaki, kusikia maoni ya watanzania??kuna shida gani??.Kuna hofu gani,Vazi 1977,mnasema linafaha kuvaliwa 2021,pamoja na mapungufu yote yaliyo dhahiri.Ndugu,
Kwani movement hizi zinazotaka kuanzishwa ni kwa ajili ya nini haswa?? Kwa mfano hii movement wanayoifanya chadema na watu wao wa Twitter ni kwa ajili ya nini???
Tujadiliane
Ilo tu ndo unaliona la maanaKule Misri kuna RAIS aiitwaye EL SISI....huyo asingechezewa na hawa akina MBOWE.....
EL SISI amewaweza nduguze MUSLIM BROTHERHOOD....Leo akina MBOWE NA TUNDU LISSU wanamshambulia mh.Rais Samia Suluhu kiasi hiki ?!!!! Khaaaaa 🤣🤣🤣🤣
REST IN PEACE OUR BELOVED JOHN POMBE MAGUFULI ,AMEN!!!
#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
For sure mkuu.Itafika wakati mama atasema fvck these guys, kumbe ndio wako hizi....to hell with them, i will do it my fvcking way....
Demi,
Niliwahi kusema hapa tena siku si nyingi kwamba hawa watu hawana shukran.
Wajinye, wewe uende kuwachambisha basi pia hawatokushkuru.
Na wajiangalie sana.
Kwa hiyo MBOWE akisema HAPANA ndio anawasemea WATANZANIA WOTE?!!!
Hapana yake ni ya KIJINGA TU.....walisema HAPANA....na hawakutokea pale UBUNGO.....asimbabaishe mtu bana....
#KaziInaendelea
For sure mkuu.
For sure, I am telling you.
Na atasema hivyo na nothing will happen.
Pumbavu sana hawa watu.
Wanasiasa hasa wa CDM wajitahidi kuishi kwa busara, nchi iko kwenye tension na utulivu 1unahitajika saaana kuliko tunavyofikiri...
wapo watu kazi yao kumwaga petrol kila penye moto na ukiwaka kuzimika itakuwa haiwezekani tena, huu utoto mnaoleta matokeo yake ni mabaya kuliko mnavyofikiri na tukiendelea na huu ujinga siku tutaikuta nchi imegawika vipande vipande hii...tensio ambayo nchi iko nayo kubwa sana baada ya kifo cha mzee hasa lile kundi kubwa la kanda ile halafu bado na nyie CDM mnakuja na yenu ( mnafikiri mtawawin wale jamaa wenye ajenda yao kule lake?)....
Tutakachowapa ni undezi tu muanze kulia lia.Acha UNAFIKI wewe!!! Mama ana staha ipi? Hukumsikia kutumia neno KUDEMKA ni staha hiyo? Wewe UONYE humu kama nani!? 😳😳😳
ACHA KUJIKWEZA zuzu wewe!!! kawatishe wengine siyo mimi.
Itafika wakati mama atasema fvck these guys, kumbe ndio wako hizi....to hell with them, i will do it my fvcking way....
Na kaburi la maalim linagombewa kuchukuliwa mchanga na wananchi mpk ulinzi umewekwa kuzuia Hilo,chato sijui Kuna Hali gani.Kuna wengi hawakuweka mtu yeyote ndani (Professor Balegu, Maalim Seif), nao hatunao tena!
Kutokutaka kwako hakuondoi uhalisia.Mimi mwana CCM, lakini ni ujinga kuwa na mitazamo kama hiyo. Hatuhitaji haki kupatikana kwa HURUMA.
Tutakachowapa ni undezi tu muanze kulia lia.
Nyinyi si mnajifanya mipunda hamuendi bila kupigwa magongo???
Nani kakutisha?? Au unahisi kutishwa?? Unajifanya hamnazo sio??
Haya sasa endeleeni na mikutano yenu ya kijinga muone
Wala hujakosea mama watoto.Mmeishiwa nyinyiiii.
Mlisema ni magaidi hawatoki, Leo wanaitwa kwenye majukwaa kuzungumzia namna gani tunaweza ijenga Tanzania
Kwahiyo mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Rais Samia....!!!?[emoji849]Mdude Nyagali ametoka RUMANDE kwa huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......
Masheikh wa UAMSHO wanakula biriani mtaani kwa sababu ya huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......
Mbowe amefutiwa kesi yake na kurudishiwa milioni zake 300 kwa sababu ya huruma ya mh.Rais Samia Suluhu Hassan......
Kwani MDUDE NA WENZAKE wangeendelea kukaa RUMANDE kingebadilika KIPI huku mitaani ?!!!!!!
#ChademaWameanzaKubeep
Tutakachowapa ni undezi tu muanze kulia lia.
Nyinyi si mnajifanya mipunda hamuendi bila kupigwa magongo???
Nani kakutisha?? Au unahisi kutishwa?? Unajifanya hamnazo sio??
Haya sasa endeleeni na mikutano yenu ya kijinga muone
Of course sote tunataka tupate katiba mpya. Sote Sisi.Hiv suala la katiba ni ihsan ya kiongozi????
Itafika wakati mama atasema fvck these guys, kumbe ndio wako hizi....to hell with them, i will do it my fvcking way....
Hili taga taahira hua linajificha ficha kwa hofu,hua linajaribu kujitokeza hadharani Kama hivi likiona uislama mixer CCM imeguswa.Angalia mpumbavu huyu!!! Hebu nitolee ujinga wako hapa ZWAZWA wewe! Ujinga wako huko huko kwa wapuuzi wenzio siyo humu.