Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

1-Group-Chairman-and-CEO--Sultan-Ahmed-Bin-Sulayem2x.png

Karibu Akhui tupige kazi.
 
Hiki kimama kirudi kwao! Kinachofanya ni kutuuza tuuu! Mbuga za wanyama, mwarabu, mashamba ya watu, wamenyang'anywa, wamasai wanatangatanga kama ndege wakiwa, na sasa bandari zetu zote, zimeuzwa kwa mwarabu, na za Zanzibar hazijaguswa, wakati muungano ni jambo la kitaifa! Imebaki Sasa sote tusilimishwe! Huyu mama ana chuki binafsi na nchi yetu! Arudi kwao atuache na nchi yetu! Si haki hata kidogo!
Kwao Ni huko huko mrima!
 
Back
Top Bottom