Hilo sukuma gang hawalioniAcheni kupotosha Mbowe kwa hiyari yake binafsi yupo mbioni kuuachia uwenyekiti, ili apate muda zaidi wa kuiimarisha miradi yake na ya kifamilia inayotetereka, hivyo atabaki ndani ya chama lakini huenda harakati za kichama akazipunguza na huenda akagombea ubunge wake na akabakia kama mbunge na endapo chama kama kitakuwa kinahitaji nasaha zake basi atasaidia katika shughuli za namna hii, binafsi nimpongeze Mbowe kwa hili, ALUTA CONTINUA.
Nguchiro[emoji23][emoji23][emoji23]Mataga wamefutika kabisa kama nguchiro wajane..
Nakuona mzee wa muleba unavyo jipigia mbandule tena kale ka suupa.Jana katajwa kuhusika na viuatilifu feki.Diblo Dibala,Diblo Dibalaaa.Tintiiii tililii,tili tili rimi ntiiiiiii.
Vijarida vya kina MachangeMbowe alitoa taarifa za mapema kabisa kuwa atang'atuka ifikapo 2023. Kwahiyo hiki kijarida kisilete uchochezi
Kawaulize wa burigi wenzakoMbona wanamsukia njama sasa
Unategemea mrundi atajua kiswahili kweli?Leo siku ya Kiswahili, unaandika KUJIHUZURU
Leo siku ya kimataifa ya kiswahili, unaandika KUJIHUZURU kweli?
Nimeishia hapo nimeona its nonsense.
Rudi kwenu BurundiEbu andika wewe neno sahihi
Mpiga tumba yupo burigiDJ anatafuta sababu ya kukaa pembeni
Uko sahihi.Chadema ni mali ya CCM kwa kificho, anayefahamu ni Mbowe na wengine ambao sio hata wanasiasa.
CDM ni compromise agent kati ya watu fulani vs CCM na serikali.
Wengine ni kokoro tu linavutwa.
Ndio maana unaona bado tu hai tukitafuta Katiba mpyaKuna kesi ngapi za kupinga matokeo ya uchaguzi 2020
Wajitoa ufahamu? Kwani mlimkatia wapi ?Ameitisha wapi kongamano la kudai katiba
yaani ulitaka wampige juu kwa juu akitoka akute chama kipyaa!! 🤣 🤣 🤣Sasa wamengoja hadi akatoka mahabusu?
Ni kiraza tu kama wewe ndio unaweza ukadhani alifanya kosa lakini kwa watu wanaojua protocol za uongozi PM alikuwa sahihi kwa 100%
Hata viongozi wa chama ngazi ya matawi wana siri zao ambazo wanachama hawapaswi kujua hadi utakapo fika muda sahihi sembuse ikuru ya nchi we jamaa kiraza sana
Akiendelea kubaki ataondoka kwa aibu kama Profesa au chama kinaweza kumfia. Aachie ngazi. Kila siku tunasema lakini mnaona kama tunawaletea nongwa. Mwenyekiti kuhudumu isizidi vipindi viwiliUmuhimu wa Mbowe kuiongoza CHADEMA umefikia mahali kuwa siyo wa lazima.
Apewe heshima yake kuu ya kuhimiri na kusimama imara wakati chama kilipopitia katika majaribu makubwa sana enzi za Magufuli, na hata wakati wa Kikwete., enzi za kina Zitto.
Uongozi wa Mbowe, wakati huu kwenye siasa za kupuliza za Samia, ni 'liability', kubwa. Inatakiwa apatikane kiongozi anayeelewa hizi mbinu mpya za kukidhoofisha CHADEMA na kupoteza mweekeo wake.
Bado mnaendelea kuokoteza mapandikizi?Ukweli hastahili tena na hii ni baada ya kulamba asali. Tuangalie mwenyekiti toka kanda nyingine.
We ndio mjinga kwa hiyo kama wewe ndio ungekuwa PM ungesemaje ? Ungesema raisi amezidiwa yupo ICU? Hi nchi ina viraza wengi sanaHakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,kwa hiyo kiongozi wa ngazi ile kusema uongo tena ndani ya msikiti unadhn ni sahihi????
Wajulishe hawa Magulizetion kuwa Mbowe alishasema 2023 anaachia ngaziAcheni kupotosha Mbowe kwa hiyari yake binafsi yupo mbioni kuuachia uwenyekiti, ili apate muda zaidi wa kuiimarisha miradi yake na ya kifamilia inayotetereka, hivyo atabaki ndani ya chama lakini huenda harakati za kichama akazipunguza na huenda akagombea ubunge wake na akabakia kama mbunge na endapo chama kama kitakuwa kinahitaji nasaha zake basi atasaidia katika shughuli za namna hii, binafsi nimpongeze Mbowe kwa hili, ALUTA CONTINUA.
'Ukweli hastahili tena na hii ni baada ya kulamba asali. Tuangalie mwenyekiti toka kanda nyingine.