Mbowe mbioni kung'olewa CHADEMA

Si jambo rahisi kiasi hicho, Mbowe bado anahitajika CDM
 
WAPUMBAVU NINYI
 
Akiendelea kubaki ataondoka kwa aibu kama Profesa au chama kinaweza kumfia. Aachie ngazi. Kila siku tunasema lakini mnaona kama tunawaletea nongwa. Mwenyekiti kuhudumu isizidi vipindi viwili
Wewe unayo maana yako nyingine.
Kama ulikuwa unahimiza aondoke wakati akipambana kukilinda chama, ina maana wewe hukukitakia mema chama hicho.
 
Mwendazake na uhuni wote alifeli.
 
Wewe unayo maana yako nyingine.
Kama ulikuwa unahimiza aondoke wakati akipambana kukilinda chama, ina maana wewe hukukitakia mema chama hicho.
Wenye sifa ya kuwa wenyeviti wako wengi siyo lazima awe yeye.
 
Na hapo ndipo CHADEMA itasimama tena
 
Nadhani hilo hata Mbowe mwenyewe kesha ligundua na kuahidi kuachia madaraka 2023 kwa wengine na kwa mpangilio bora kabisa bila jazba za kiccm. Na chuma bora kitakachochukua baada ya yeye hakika CCM watatamani Mbowe arudi.
 
Mh
 
Mtasubiri sana maana tutamuacha siku mkinyamaza. Lakini mkiendelea na propaganda hizi tutamchagua tena na tena.
Magufuli alitumia kila njia akashindwa, badala yake akaachia yeye uenyekiti wa chama kile marehemu.
 
Wewe joyce mukya lazima umchague tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…