Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujiuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujiuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Hoja za kijinga hazina faida bali huleta malumbanoJikite kwenye hoja
Wewe unayo maana yako nyingine.Akiendelea kubaki ataondoka kwa aibu kama Profesa au chama kinaweza kumfia. Aachie ngazi. Kila siku tunasema lakini mnaona kama tunawaletea nongwa. Mwenyekiti kuhudumu isizidi vipindi viwili
Mbona wanamsukia njama sasa
Anayemsukia njama ni wewe na MaheraMbona alishatangaza mwakani anastaafu.
Mwendazake na uhuni wote alifeli.Ni kiraza tu kama wewe ndio unaweza ukadhani alifanya kosa lakini kwa watu wanaojua protocol za uongozi PM alikuwa sahihi kwa 100%
Hata viongozi wa chama ngazi ya matawi wana siri zao ambazo wanachama hawapaswi kujua hadi utakapo fika muda sahihi sembuse ikuru ya nchi we jamaa kiraza sana
Wenye sifa ya kuwa wenyeviti wako wengi siyo lazima awe yeye.Wewe unayo maana yako nyingine.
Kama ulikuwa unahimiza aondoke wakati akipambana kukilinda chama, ina maana wewe hukukitakia mema chama hicho.
Kwani ni wapi uliponisoma nikisema "ni yeye tu"!Wenye sifa ya kuwa wenyeviti wako wengi siyo lazima awe yeye.
Nadhani hilo hata Mbowe mwenyewe kesha ligundua na kuahidi kuachia madaraka 2023 kwa wengine na kwa mpangilio bora kabisa bila jazba za kiccm. Na chuma bora kitakachochukua baada ya yeye hakika CCM watatamani Mbowe arudi.Umuhimu wa Mbowe kuiongoza CHADEMA umefikia mahali kuwa siyo wa lazima.
Apewe heshima yake kuu ya kuhimiri na kusimama imara wakati chama kilipopitia katika majaribu makubwa sana enzi za Magufuli, na hata wakati wa Kikwete., enzi za kina Zitto.
Uongozi wa Mbowe, wakati huu kwenye siasa za kupuliza za Samia, ni 'liability', kubwa. Inatakiwa apatikane kiongozi anayeelewa hizi mbinu mpya za kukidhoofisha CHADEMA na kupoteza mweekeo wake.
Umerekebisha nini?Hakuna neno kukiudhuru,Kuna kukiudhuru na kujiuzuru.
Mtasubiri sana maana tutamuacha siku mkinyamaza. Lakini mkiendelea na propaganda hizi tutamchagua tena na tena.Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujiuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujiuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Wewe joyce mukya lazima umchague tuMtasubiri sana maana tutamuacha siku mkinyamaza. Lakini mkiendelea na propaganda hizi tutamchagua tena na tena.
Magufuli alitumia kila njia akashindwa, badala yake akaachia yeye uenyekiti wa chama kile marehemu.