Mbowe, mkanye Lissu

Ameropoka akasemaje,mbona huweki mambo hadharani ili tumchambue unabaki kusema tu kuropoka ropoka, kwani jamani kasemaje?????? Si mseme tu labda ndio anachapa kazi tena nimezungumza naye leo kwenye simu.Oooop
Nenda Twitter kama una access
 
Kwani unafikili ni Lisu anaongea pale,ni wabelgiji ndio wanatumia mdomo wa wakili msomi ila ye mwenyewe hata hajui kitu maskini.
 
Yani mpaka unaeeza ukae ujiulize huyu jamaa aligongwa risasi ya ubongo au ya mguu.

au ubongo wa wakili msomi upo miguuni kulikodungwa risasi.
 
Huyu mwenzetu kafika tayari.Tujitahidi tumwahi kabla hajaondoka.

..wana matatizo kweli vijana wa mataga / ccm.

..Magufuli kafia Tanzania, lakini analaumiwa mtu aliyeko Ubelgiji.

..What kind of non-sense is that?
 
Yani mpaka unaeeza ukae ujiulize huyu jamaa aligongwa risasi ya ubongo au ya mguu.

au ubongo wa wakili msomi upo miguuni kulikodungwa risasi.

..ccm mngeruhusu UCHUNGUZI ufanyike, na waliohusika kuchukuliwa hatua, haya yote yasingetokea.
 
Mwache Lissu!!
Mwache kabisa!
Yuko sawa!!
 
Mimi naona jinsi anavyotusumbua kwa kuweka mambo hadharani kabla yetu ni mjuaji.Na habari zake zinakanushwa kwa uongo.Baada ya muda mfupi aliyoyasema yanaonekana wazi.Sasa hapa mropokaji ni yupi.
 
Acha kutumia wingi katika kuwasilisha fikra zako. "Tume" "tuta" "tuna"
Wewe na nani?
 
..ccm mngeruhusu UCHUNGUZI ufanyike, na waliohusika kuchukuliwa hatua, haya yote yasingetokea.
Uchunguzi anza kufanya wewe mwenyewe yani serial killer aje akuchabange marisasi 30 alafu yote ya miguuni tu huyo atakuwa ni mlinzi wa kk security sio mtu alietumwa kuua.

Ndio maana wenye akili wamempuuzia.
 
mlimchokoza wenyewe acha awatandike tu.si mnamuita mabaga fresh hiyo fresh mtaipata tu
 
yaaan alivokuwa anaropoka kwenye ugonjwa mpaka uchungu wa uzaz unatushika.yelewiiii yan kutibua nyongo .najitoa chadaeme
Alisemaje kwani, julaibibi tangu lini umejiunga Chadema,sio kweli unadanganya mbona juzi ulivaa zile za kijani au uko pote pote.Hivi walikupokea kweli.
 
Mataga kama mataga!!
Rais Samia kawakataza hizo husda zenu!!
 
Jamaa ameamua kupambana na marehemu kupunguza maumivu.
Ninaandika ninafuta....Mungu amhurumie!
Kwakua Mungu amem vindicate Hayati Dr. Pombe Magufuli....Atakuwa ameumizwa sana ki psychology na watanzania...Hakutegemea kama watanzania wana mpenda kiasi hiki mtu ambaye yeye alimwona kwa jicho la kisasi hadi akaamua kui betray nchi yake na kumsema vibaya kila kona ya dunia....Watanzania wamemvalisha Rais wao nguo nyeupe na kuosha matope yote aliyompaka milele...

He will learn in the hard way kwamba "kisasi ni cha Mungu"

Mungu amempa nafasi ya kuona jinsi alivyotukuzwa na watu wake kinyume na matamanio yake....Kama nitakuwepo hai nitaona jinsi yeye atakavyoondoka...Natamani jata huo u Rais angeupata ili ionekane tofauti yake na ya Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli...Ndipo watanzania watajua kweli God is Just and he is not respector of persons!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…