Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Ajabu na kinachowauma mliyemuona mungu katangulia kabla ya mwanadamu mliyepiga risasi
Hawezi rudi huyo atabaki ukimbizini mpaka kifo chake.Wanaccm, Salaam!
Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake...
Kwanini mzaliane kiasi hicho au kisa kuna ugali wa kutosha baada ya mbinu chafu za kuharibu soko la mahindi.Huyo rais wenu wa jamhuri ya twitter ameibua tabia ya kuharibu image ya kabila la wasukuma kwenye nchi yake hiyo ya twitani...
Kabila si mali ya mtu mmoja ni Mali ya jamii husikaKwanini mzaliane kiasi hicho au kisa kuna ugali wa kutosha baada ya mbinu chafu za kuharibu soko la mahindi....
Mara ngapi mumchukie mbona chuki yenu mnayo toka mlivyosikia na kuona hajafa si mlitaka kumwua nyie au mnadhani tumesahauHuyo rais wenu wa jamhuri ya twitter ameibua tabia ya kuharibu image ya kabila la wasukuma kwenye nchi yake hiyo ya twitani....
Si ndio Yuko kutafuta buku saba taslimuMtoa mada tafuta hela
Tena miviongozi yao iliwahi fikia kukataza watu wa ccm wasiende kuwapa pole watu wa cdm...mcxiew
Hahahahaa kumbe ile pay bado ipogo.Si ndio Yuko kutafuta buku saba taslimu
Mbaya zaidi na yenyewe haina increment. Kama mishahara ambavyo haijapanda, na yenyewe imeganda palepaleHahahahaa kumbe ile pay bado ipogo
Bujibuji hujaelewa Nini? Mleta mada hajasema habari za CCM na Chadema, kalalamika kitendo Cha Tundu kukashifu wasukuma kisa alikuwa na bifu na mheshimiwa.
Wanyiramba na Wasukuma ni watani wa jadiBujibuji hujaelewa Nini? Mleta mada hajasema habari za CCM na Chadema, kalalamika kitendo Cha Tundu kukashifu wasukuma kisa alikuwa na bifu na mheshimiwa.
Elewa kwamba siyo wasukuma wote ni Wana CCM hivyo asikashifu wasukuma wote kisa hayati alikuwa Msukuma.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£...hahahaa nacheka kama mazuriMbaya zaidi na yenyewe haina increment. Kama mishahara ambavyo haijapanda, na yenyewe imeganda palepale
π€£π€£π€£π€£Yaani wewe jamaa ni MFALME WA MAZEZETA. Mambo ya ukabila umeyaibua ili iweje? Hujui Wanyiramba na Wasukuma ni watani wa jadi?
Bak hulaliπ€£π€£
πHahahahahahaha nikistuka tu nachungulia huku lol! ππππππππ nalala sasa nimekusikia πΉπΉπΉ