Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

Heshima anayopata Magu toka kwa wananchi inafariji.....

Kwakuwa hakuna anayeweza kupanga nani atangulie naona hoja yako haina makalio[emoji3][emoji3]
Ajabu na kinachowauma mliyemuona mungu katangulia kabla ya mwanadamu mliyepiga risasi
 
Wanaccm, Salaam!
Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake...
Hawezi rudi huyo atabaki ukimbizini mpaka kifo chake.

Kama yeye anataka kutumia hela za mabasha wake kuwa Rais wa Tanzania basi ajue kuwa nasi tutatulia ngu hizo hizo kummaliza.

Tanzania haitatawaliwa na mzungu tena kwa hela zake au bila hela zake.

Tundu Lissu atabaki Rais wa mitandaoni daima.
 
Huyo rais wenu wa jamhuri ya twitter ameibua tabia ya kuharibu image ya kabila la wasukuma kwenye nchi yake hiyo ya twitani.

Mkae mkijua siasa ni watu, kitendo cha kuwa anakashifu kabila la watu kisa watu wachache anabifu nao, hili halikubaliki.

Huwezi kutumia identity ya kabila fulani kwa ajili ya watu wachache. Nafahamu CHADEMA mna maslahi na huyo mtu wenu ila mwambieni aheshimu makabila ya watu.

Wasukuma wanacover robo ya hii nchi by population, huwezi kuwachukulia poa kirahisirahisi hivyo.

Na ikumbukwe the late hakuwa msukuma alisema mwenyewe ni mzirankende, kwa hiyo bifu lenu na yeye lisiwachonganishe na wasukuma.
 
Huyo rais wenu wa jamhuri ya twitter ameibua tabia ya kuharibu image ya kabila la wasukuma kwenye nchi yake hiyo ya twitani...
Kwanini mzaliane kiasi hicho au kisa kuna ugali wa kutosha baada ya mbinu chafu za kuharibu soko la mahindi.

Kwa hiyo kama wanacover robo ya ndio wasisemwe sio.

Wasukuma ni washamba na huo ndio ukweli haiwezekani ule mahindi ya kuchoma kwenye mkutano.

Alafu kwanini uuziwe mahindi na mbabe aliyebeba bastola hukuwaona wakinamama wanyonge.
 
Ni lini CCM mlipowahi kuwapenda CHADEMA?
Bujibuji hujaelewa Nini? Mleta mada hajasema habari za CCM na Chadema, kalalamika kitendo Cha Tundu kukashifu wasukuma kisa alikuwa na bifu na mheshimiwa.
Elewa kwamba siyo wasukuma wote ni Wana CCM hivyo asikashifu wasukuma wote kisa hayati alikuwa Msukuma.
 
Una advocate violance, mtakufa unexpectedly kama baba yenu. Hamjifunzi
 
Back
Top Bottom