Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Lissu ni Mgonjwa jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu kwa yale marisasi aliyoshindiliwa unategemea aongee kwa kubembeleza.Hebu vaa viatu vyake!tatizo sio kuongea kweli.
Bali UNAUONGEA VIPI HUO UKWELI?.
jitieni upofu tuu huu ni msiba was taifa mtake msitake
Misheni yenu ilifeli ila msijali bado mna nafasi ya kujaribu tenana Allah akikutetea unatakiwa umshukuru sio uanze majungu
Lissu kwa yale marisasi aliyoshindiliwa unategemea aongee kwa kubembeleza.Hebu vaa viatu vyake!
Dua la kuku hilo[emoji23]Lissu ni Mgonjwa jamani
we leta jeuri tu ila dikteta lenu ndo hivoo linayeyaa bado nyie vidagalamkibisha bisha kwani maji ya Moto yanachoma nyumba???
Dah...nami nakazia tu..aendelee hadi hamu yake itakapoisha...ndilo alilobaki nalo kwa sasa 🤣 🤣🤣"Tamaduni zenu?"
My foot.. Hizo tamaduni zenu za kijinga na za kishirikina, ni mbaya, ni chafu. Kaeni nazo menyewe. Zinapaswa kuvunjwa haraka.
Mimi nasema hivi;
Tundu Lissu endelea kusema kila lililo muhimu kwa Tanzania na ulimwengu kusikia.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] naona unatema nyongoKama break za huo mzoga wenu , marehemu mungu mtu WA chato , jitu lenye domo chafu na roho mbaya kuliko ibilisi , rest in hell
Povu kama povuPopote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Anachokifanya Lisu ni masharti ya mabeberu ili waendelee kumpa mkate wa kila siku huko ughaibuni!! Si ajabu kishakuwa mwanachama wa LGBT+ !! Mabeberu si watu!!!Popote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
071 ya Lisu imetepeta ili apate mkate wake wa kila sikuAnachokifanya Lisu ni masharti ya mabeberu ili waendelee kumpa mkate wa kila siku huko ughaibuni!! Si ajabu kishakuwa mwanachama wa LGBT+ !! Mabeberu si watu!!!
Mkuu usisumbuke na mjinga yule. Eti ndiyo angekuwa raisi wetu!!! Ni mtu sadist achana naye asikusumbue akili. Acha tuombolee msiba wetu kwa staili yetu!!!! Asiyependa ameze jiwe!!!!Popote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Tulia, andika kwa utulivu. Rekebisha spelling za neno Stiegler, siyo Stygler. Badala ya kujisomea uongeze ufahamu na kukwepa makosa ya kizembe kama haya, wewe unatoka mishipa kutetea Lissu anayesaidiwa maisha Ubelgiji. Baadaye atawaletea picha ya mvinyo na bia za Jupiler na duvel. Lissu siyo Tanzania.Wewe ni kati ya wapuuzi nchi hii imejaaliwa kuwa nao. Huwezi kuhalalisha mateso ya wapinzani eti kisa sijui Flyover, Stygler gauge, Ndege na madaraja . Vinakuwa na faida gani kama ndiyo ticket ya mateso.
Umekwepa hoja . Mimi sijamzungumzia Lissu nazungumzia dhulma dhidi ya waTz kwa kigezo cha mabarabara na madaraja. Wapo wengi wameumizwa , unasemaJe kuhusu family zao ?!. Mawazo alicharangwa mapanga mchana kweupe . Family yake imeumia kiasi gani. Na wengine wengiTulia, andika kwa utulivu. Rekebisha spelling za neno Stiegler, siyo Stygler. Badala ya kujisomea uongeze ufahamu na kukwepa makosa ya kizembe kama haya, wewe unatoka mishipa kutetea Lissu anayesaidiwa maisha Ubelgiji. Baadaye atawaletea picha ya mvinyo na bia za Jupiler na duvel. Lissu siyo Tanzania.
Kama Lissu hana furaha ina maana Tz yote ina taabu? Kama ni nchi kulia basi tungewalilia akina Mkwawa, Mirambo, nk. Yaani hadi leo tujifunze risasi za Lisu tu! Yaani hizo risasi ndo zimpe nafasi ya kutusemea wa-Tz? Nooooo!
Sasa utulize akili. Usipende kuandika kutukana watu ndani ya JF wakati ufahamu, wanakuzidi.Umekwepa hoja . Mimi sijamzungumzia Lissu nazungumzia dhulma dhidi ya waTz kwa kigezo cha mabarabara na madaraja. Wapo wengi wameumizwa , unasemaJe kuhusu family zao ?!. Mawazo alicharangwa mapanga mchana kweupe . Family yake imeumia kiasi gani. Na wengine wengi
Ya duniani tunaenda nayo wapi ?!
mama ako ndiyo pimbiKama haina jipya nini kimekuleta kuchangia humu , pimbi wewe
huyo atamalizwa na wanaomtia kiburiMisheni yenu ilifeli ila msijali bado mna nafasi ya kujaribu tena