Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

Yaani Lissu anunue bando mwenyewe halafu wewe umpangie cha kuandika? Wakati Lissu anapigwa risasi huo utamaduni wenu wa kuheshimiana ulikuwa wapi? Wakati mnamfukuza ubunge na kumnyima haki za matibabu uungwana wenu mliuweka wapi?

Lissu tandika spana za vichwa kuna majini yameanza kufurumuka toka mafichoni huku! Ukiona Lumumba wanakuonya ujue jicho (an eye siyo 0713) limetusuliwa? Lissu endelea kuwafukunyua wameanza kumuomba mbowe akufute chama?'Magu kufa hakufuti majonzi na maumivu mabaya aloyoacha kwa alowanyia, mliokuwa mna lamba nyayo zake endeleeni kulamba wale wa spana tuache tuendelee usitupangie simu zetu bando letu.
 
Hata kabla lisu hajashambuliwa alikuwa na maneno makali sanaa.
Tusitetee hii tabia.lisu hana sifa za kiuongozi.
Angalia MBOWE anavyoongea.
Yaani kuna hekima na busada fulani ambayo unaisikia
Lissu kwa yale marisasi aliyoshindiliwa unategemea aongee kwa kubembeleza.Hebu vaa viatu vyake!
 
"Tamaduni zenu?"

My foot.. Hizo tamaduni zenu za kijinga na za kishirikina, ni mbaya, ni chafu. Kaeni nazo menyewe. Zinapaswa kuvunjwa haraka.

Mimi nasema hivi;

Tundu Lissu endelea kusema kila lililo muhimu kwa Tanzania na ulimwengu kusikia.
Dah...nami nakazia tu..aendelee hadi hamu yake itakapoisha...ndilo alilobaki nalo kwa sasa 🤣 🤣🤣
1616579727250.png
 
Kama break za huo mzoga wenu , marehemu mungu mtu WA chato , jitu lenye domo chafu na roho mbaya kuliko ibilisi , rest in hell
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] naona unatema nyongo
 
Popote ulipo mwenyekiti wa chama.

Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.

Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.

Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.

Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.

Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?

Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Povu kama povu
Nina dumu la komoni ili upoze machungu 😁😀
 
Anachokifanya Lisu ni masharti ya mabeberu ili waendelee kumpa mkate wa kila siku huko ughaibuni!! Si ajabu kishakuwa mwanachama wa LGBT+ !! Mabeberu si watu!!!
 
071 ya Lisu imetepeta ili apate mkate wake wa kila siku
 
Popote ulipo mwenyekiti wa chama.

Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.

Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.

Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.

Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.

Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?

Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Mkuu usisumbuke na mjinga yule. Eti ndiyo angekuwa raisi wetu!!! Ni mtu sadist achana naye asikusumbue akili. Acha tuombolee msiba wetu kwa staili yetu!!!! Asiyependa ameze jiwe!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Wewe ni kati ya wapuuzi nchi hii imejaaliwa kuwa nao. Huwezi kuhalalisha mateso ya wapinzani eti kisa sijui Flyover, Stygler gauge, Ndege na madaraja . Vinakuwa na faida gani kama ndiyo ticket ya mateso.
Tulia, andika kwa utulivu. Rekebisha spelling za neno Stiegler, siyo Stygler. Badala ya kujisomea uongeze ufahamu na kukwepa makosa ya kizembe kama haya, wewe unatoka mishipa kutetea Lissu anayesaidiwa maisha Ubelgiji. Baadaye atawaletea picha ya mvinyo na bia za Jupiler na duvel. Lissu siyo Tanzania.

Kama Lissu hana furaha ina maana Tz yote ina taabu? Kama ni nchi kulia basi tungewalilia akina Mkwawa, Mirambo, nk. Yaani hadi leo tujifunze risasi za Lisu tu! Yaani hizo risasi ndo zimpe nafasi ya kutusemea wa-Tz? Nooooo!
 
Umekwepa hoja . Mimi sijamzungumzia Lissu nazungumzia dhulma dhidi ya waTz kwa kigezo cha mabarabara na madaraja. Wapo wengi wameumizwa , unasemaJe kuhusu family zao ?!. Mawazo alicharangwa mapanga mchana kweupe . Family yake imeumia kiasi gani. Na wengine wengi

Ya duniani tunaenda nayo wapi ?!
 
Sasa utulize akili. Usipende kuandika kutukana watu ndani ya JF wakati ufahamu, wanakuzidi.
Tatizo unaandika utadhani dunia ilianza miaka 10 iliyopita. Dunia ipo miaka zaidi ya bilioni 4 unaijua hiyo au ni elimu mpya? Sema basi, viumbe wako duniani miaka mingapi iliyopita? Je, huoni matendo hayo hayakuanzia kwa Lissu na Mawazo? labda nimekupeleka mbali sana kwa elimu yako, rudi nyuma kwa Kikwete tu, Ulimboka alifanyiwa nini? kwani ndugu zake walifurahi? Rudi nyuma tena kwa maisha ya akina Hanga, sijui hata unamfahamu au hata kumsikia!

Ninachokisema Tanzania haiwezi kuwa mateka wa risasi za Lissu. Wapo mashuhuri wengi kuliko huyo ambaye hajawahi hata kukaa ofisi ya serikali, ambao walipata makubwa kuliko yeye. Ndugu zao walichukia, walihangaika, nk. lakini hiyo siyo sababu ya kuifanya nchi nzima kujadili mtu mmoja. UNayajua yanayotokea nchi zingine au hujui kama Lissu aliyekimbilia US kusimulia bila kujua msimamo wa nchi hiyo juu ya waafrika?
 
Back
Top Bottom