nra2303
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 2,975
- 2,547
Wewe umewahi hata kushinda kiti cha Ubunge kweli?
Mm hata ubalozi sijawai kugombea mkuu!Lissuu aache kumkashifu hayati JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umewahi hata kushinda kiti cha Ubunge kweli?
Wewe ndiyo huna Akili hata za kuazima tu kwa polepole, Yaani ulitaka mtu apigwe risasi aporwe ubunge anyimwe haki zake abambikiwe kesi kibao kisha akae kimya? akae kimya ili iweje? Unyanyasaji unyama wote huo haujauona? Acha kujitoa fahamu kiasi hicho
Hivi hizo risasi 18 ni kuulia ndege ama samaki. Acheni sinema za kihindiMwache Tundu Lissu atoe nyongo. Risasi 18 apigwe na stahili ya matibabu anyimwe ili afe. Lakini Mungu mkubwa. Watesi wake ndo wametangulia kufa.
Akili yenu huko ccm mnajua Nyerere alikuwa Mal
inawauma sana Rais Magufuli alikuwa anakubalika kila mahali. sasa ameishakufa mnamsema vibaya wa nini hamuoni kuwa nyie ndo hamna akili kumtukana mtu ambaye tayari hayupo duniani ni sawa na kuongea na kulitukana jiwe ambalo halina uhai wala kusogea mahali lilipoAkili yenu huko ccm mnajua Nyerere alikuwa Malaika hakosei..
Kazike mungu wenu chato
demokrasia ya nini kwetu sisi wananchi tulikuwa tunataka maendeleo sio watu wachache wenye uchu wa madaraka watutoe kwenye reli. Demokrasia kwenye chama chenu ilikuwa inapatikana? uliporwa Tsh ngapi? mnapiga kelele za bure ambazo hazisaidii chochote. Hata kama Magufuli hatunae Lissu haitakuja kutokea kuwa Rais wa Tanzania labla awe Rais wa CHADEMAAliyekuwa Rais Mbona hakutumia demokrasia kama mkapa na kikwete? Kutumia wasiojulikana kupiga watu risasi ndiyo kaleta tabu zote hizi , kuwatumia task force kupora mali za watu, kufunga biashara za watu, Account za watu kuwapora cash zao kuwatishia kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi , huyo ndiyo Rais bora?
😂😂😂 acheni masihara na maisha ya mtu mjueHivi unajua Risasi moja ilimkata Lissu dushe? Hivi unajua ni uchungu kiasi gani kuishi kama Mugabe??
ndo unaoneesha maisha yako mpaka sasaBado mmijawa na utopolo wa meko wenu
ukweli ni kwamba miongoni mwa masharti aliyopewa Tundu lissu nikuhakikisha anatetea mashoga Hilo msipinge.Umesahau aliitwa mtetezi wa mashoga wakati siyo kweli?
Umesahau mlisema ameshambuliwa na serves wake na mpaka leo hata kuku hajakamatwa?
Umesahau marehemu aliagiza kwamba akina akazikwe nataka kijijini kwao?
Umesahau JPM alikataa asipewe pesa ya matibabu wakati ni haki yake?
Umesahau aliagiza apokonywe ubunge ati Hawajui alipo?
KAMFUFUE SASA.
Wewe ni nani hadi umkataze raiya mwenzio kutokanyaga nchi yako?ukweli ni kwamba miongoni mwa masharti aliyopewa Tundu lissu nikuhakikisha anatetea mashoga Hilo msipinge.
Kuhusu hayo unayoyasema ametendewa yawezekana ni kweli lakini yoote yanasababisha na mdomo wake, tunashauri kwa sasa abadili strategy kwa manufaa yake otherwise hatakanyaga bongo
Upo sahihi Mkuu. Ila lile tunalolishuhudia tutalinena.kwa hiyo hatuwezi kunyamaza sababu hatukuona muuwaji wakati tumeona Mwanadamu kauwawa.Sawa mkuu ila busara inasema mwache Mungu ahukumu kwakuwa hatukuwapo wala kuona...
Hivi hii nchi inapiga ushoga kwa dhati? Au unaleta siasa zisizo na maana?.mnaongea mdomoni na mashoga wamejaa nchi hii. Sikia dunia nzima wapiga mashoga wa kweli tena kwa vitendo Ni nchi za kiislam zinazofuata itikadi za kidini zingine zote ikiwemo Tanzania hakuna kitu wapiga domo tu. Lisu akutetea mashoga alisema katiba yetu inalinda faragha za watu. Sasa Lisu kusema hivyo anatetea ushoga au likatiba ndiyo linatetea ushoga?ukweli ni kwamba miongoni mwa masharti aliyopewa Tundu lissu nikuhakikisha anatetea mashoga Hilo msipinge.
Kuhusu hayo unayoyasema ametendewa yawezekana ni kweli lakini yoote yanasababisha na mdomo wake, tunashauri kwa sasa abadili strategy kwa manufaa yake otherwise hatakanyaga bongo
Upo sahihi Mkuu. Ila lile tunalolishuhudia tutalinena.kwa hiyo hatuwezi kunyamaza sababu hatukuona muuwaji wakati tumeona Mwanadamu kauwawa.
Huyo jamaa kaitia akili yake upofu tu.ukiangalia utagundua kinachotetea ushoga ni katiba siyo Lisu. Lisu alisema katiba inalinda faragha za watu.Wewe ni nani hadi umkataze raiya mwenzio kutokanyaga nchi yako?
Kwamba aliteuliwa kuwa tetea mashoga hilo unasema wewe kwa ujinga wake. Nikukumbushe tu kwamba tundu lisu alisema kuna uhuru wa faragha hata wewe hapo umevaa nguo. Lisu hajawatetea mashoga tu hata hao mnaowaita wanyonge alishawatetea kabla Nielsen wengine mpo wapi sijui
Sina Upumbavu wa kuona mtu kauwawa alafu kwa sababu sijaona muuwaji nisime hajauwawa. Tukio litabaki la kiuwaji na limefanya na muuwaji. Ndiyo nyie mliozalisha WASIOJULIKANA. Wauwaji tu waleCant prove .... cant judge
Sina Upumbavu wa kuona mtu kauwawa alafu kwa sababu sijaona muuwaji nisime hajauwawa. Tukio litabaki la kiuwaji na limefanya na muuwaji. Ndiyo nyie mliozalisha WASIOJULIKANA. Wauwaji tu wale
Unajua maana ya kuhukumu au unalopoka Kama zezeta. Kusema mtu huyu kauwawa na kusema huyu ni Muuwaji ni kuhukumu? Hukumu ni ile Mliyomfanyia Lisu mkaona alistahili kufa na bado unasema hatokanyaga nchini.kwa nini una Fuvu lililopooza kiasi hiki?Sio wote vichaa kama wewe boss..
Imani yangu ya dini hainiruhusu kuhukumu kwa kuhisi...
Siwezi kusimama kwenye court of law nikatoa ushahidi....
Ukiona stress zinakuzidi piga ulanzi... ni natural zaidi...
Unajua maana ya kuhukumu au unalopoka Kama zezeta. Kusema mtu huyu kauwawa na kusema huyu ni Muuwaji ni kuhukumu? Hukumu ni ile Mliyomfanyia Lisu mkaona alistahili kufa na bado unasema hatokanyaga nchini.kwa nini una Fuvu lililopooza kiasi hiki?
Unajua maana ya kuhukumu au unalopoka Kama zezeta. Kusema mtu huyu kauwawa na kusema huyu ni Muuwaji ni kuhukumu? Hukumu ni ile Mliyomfanyia Lisu mkaona alistahili kufa na bado unasema hatokanyaga nchini.kwa nini una Fuvu lililopooza kiasi hiki?
Shetani hatoi shetani mwezake.How can you prove any of yo stupidity kwamba serikali imefanya?