Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ibara ya 37 πŸ˜€
 
Wewe ndiye umekatwa kichwa...

Unauliza swali hili kijinga kabisa ukijiona wewe una akili na uelewa sana kuliko vichwa vya CHADEMA kama kina Tundu Lissu, Adv. Kibatala, John Mnyia, Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu...!!

Kwani akina Waziri Masauni, DCI Kingai, IGP Wambura na DGSI Mombo "must go" kwa sheria na kifungu gani cha Katiba...?

Atawajibishwa kisiasa. Atakuwa impeached na people's power. Si lazima iwe bungeni...
 
Mbatizaji, lakini wewe mbona sio kama wale wajinga wengine ambao hawajafahamu Mbowe na Chadema wanamaanisha nini?
Nilitegemea wewe kama mtu intellectual ungesaidia kuwaambia huko kwa "mazombie club" kuwa nyakati ndio hizi, kila mahali pamechoka hata kule mabakamabaka hivyo dalili ya mvua ni mawingu. Inaweza kunyesha soon kama kule au kuleee!
 
Haki inadaiwa, haki haiombwi...

CHADEMA mmefanya maamuzi sahihi kuidai haki kwa njia zozote halali ikiwemo maandamano barabarani....

Kwa hakika kabisa, SAMIA SULUHU HASSAN MUST GOOOO TO HELL. Hawezi kuwa anaua watu halafu awe anatazamwa tu...!

Yeye na Bunge la Tulia Ackson wanapata wapi guts za kutunga sheria ya kuteka, kutesa na kuua watu pasipo kuwapeleka kwenye vyombo vya kisheria yaani mahakama Kwa mujibu wa katiba waliyoapa kuilinda...??

SAMIA SULUHU HASSAN MUST GO TO KIZIMKAZI KWA KUVUNJA KATIBA YA JMT...!
 
Duh πŸ™„ !
 
Wengine wanasema MBOWE MUST GO ..maana amekaa kwenye kiti hicho enzi na enzi alafu CHADEMA aichukui nchi
 
People Power ya konyo, usicheze na moto, fanyeni kujaribu kama mnajikuna masaburi ndio mtajua kilichomtoa kanga manyoya. Kama mnataka kuwatumia waliofundishwa na Ally Mohamed Kibao, basi watakutana na wajuzi wenzao
 
Watanzania tunayo aina yetu ya maisha ya kutatua mambo yetu kwa mazungumzo. Kwa msingi huo, kwenda kinyume ni kutafuta jinai na katika vitu ninavyoviheshimu kwenye nchi hii; ni kutokuchezea mamlaka ya Rais, amani, Uhuru na Usalama wa Nchi. Tusiige demokrasia isiyoendana na historia yetu. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mbowe anatamani kuona damu inamwagika ila kamwe hatofanikiwa
Ingelikuwa anatamani hivyo unavyowaza ingeshatokea zamani ila bado anaubinadamu rohoni mwake ni tofauti na nyinyi mnaowaza kuteka na kuua kila siku kwa kuwatumia policcm na usalama wa taifa ndio maana kila siku mbinu zenu ni chafu juu ya uongozi wenu hampendi kuona upinzani unakuepo.
 
Samia must go!
 
Hata Gaddafi alidharau watu wake hadi walipo pewa usaidizi from outside wakaupokea. What follows? Mbabe alikutwa ndani ya karavati kajificha na akaambulia vijiti makalioni na kulia kama kitimoto buchani!
Jee mnayataka hayo? Hayana tija lakini binadamu ukimwonea sana ndiyo yanafikia yale ya kujitoa muhanga bila kujali maumivu yake.
Sawa, nyie wababe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…