johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Damu ya nani?🐼Mbowe anatamani kuona damu inamwagika ila kamwe hatofanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Damu ya nani?🐼Mbowe anatamani kuona damu inamwagika ila kamwe hatofanikiwa
Ibara ya 37 😀Mtu makini huliangalia jambo kuanzia mwisho kuja Mwanzo na Siyo Kinyume chake
Kwa Katiba ya JMT Hakunaga namna ya kumtoa Rais Kienyeji
Sasa mh Mbowe anaposema Chadema watakuja na hiyo kitu watatumia sheria gani iwapo hata kumkataa Waziri Mkuu hawawezi Kwa yule Mbunge mmoja Aida waliyenaye bungeni
Cha Msingi ni kuhimiza uchunguzi Huru utakaofanikisha kuwapata akina Soka pia na hao Scotland Yard nawakumbuka walivyochunguza mkasa wa Robert Ouko enzi za Moi pale Kenya
Mlale Unono 🐼
Kwa hiyo ile ya juzi ya Ali Kibao ni juice ilimwagika ?Mbowe anatamani kuona damu inamwagika ila kamwe hatofanikiwa
Wewe ndiye umekatwa kichwa...Mtu makini huliangalia jambo kuanzia mwisho kuja Mwanzo na Siyo Kinyume chake
Kwa Katiba ya JMT Hakunaga namna ya kumtoa Rais Kienyeji
Sasa mh Mbowe anaposema Chadema watakuja na hiyo kitu watatumia sheria gani iwapo hata kumkataa Waziri Mkuu hawawezi Kwa yule Mbunge mmoja Aida waliyenaye bungeni
Cha Msingi ni kuhimiza uchunguzi Huru utakaofanikisha kuwapata akina Soka pia na hao Scotland Yard nawakumbuka walivyochunguza mkasa wa Robert Ouko enzi za Moi pale Kenya
Mlale Unono 🐼
Mbatizaji, lakini wewe mbona sio kama wale wajinga wengine ambao hawajafahamu Mbowe na Chadema wanamaanisha nini?Mtu makini huliangalia jambo kuanzia mwisho kuja Mwanzo na Siyo Kinyume chake
Kwa Katiba ya JMT Hakunaga namna ya kumtoa Rais Kienyeji
Sasa mh Mbowe anaposema Chadema watakuja na hiyo kitu watatumia sheria gani iwapo hata kumkataa Waziri Mkuu hawawezi Kwa yule Mbunge mmoja Aida waliyenaye bungeni
Cha Msingi ni kuhimiza uchunguzi Huru utakaofanikisha kuwapata akina Soka pia na hao Scotland Yard nawakumbuka walivyochunguza mkasa wa Robert Ouko enzi za Moi pale Kenya
Mlale Unono 🐼
Maana yake sasa mambo yameharibika zaidi kama alivyosemaga Mstaafu kwamba labda mambo yaharibike zaidi ???!!"Samia must go" ,na sio CCM must go!!.
Mbowe mjanja sana anakula huku na kule.
Yeye ndio ataishia kumwaga mkojo wakeMbowe anatamani kuona damu inamwagika ila kamwe hatofanikiwa
Duh 🙄 !Wenye "Ruto Must Go" hawakufanikiwa ndiyo waje kufanikiwa watanzania? Watanzania wakiamzisha hiyo ya "Samia Must Go" dunia nzima itajua wanafanya maigizo ili wapate viewers mitandaoni.
Miaka hii ni nadra sana kwa nafasi kujirudia mara mbili. Walipoitisha Opareshini Ukuta kipindi kile cha Magufuli, wanamchi waliitika sana, Mbowe akafanya kosa kubwa sana la kusimamisha maandamano yale kisa viongozi wa dini walimwita na kumtaka ayasitishe na kwamba kama ana madai wao watayapeleka kwa rais.
Mara ya pili ni hapo juzi kwenye maziko ya Ally Kibao kule Tanga, Public ilishapata joto la asili, yeye akaleta busara zisizo na lazima akapooza joto lile pasipo sababu. Hilo ni kosa kubwa sana.
Pamoja na uzuri wake, hakuna jambo atalifanya Mbowe katika siasa za sasa likafanikiwa. Simshauri maamuzi gani afanye, bali namshauri asome na kupuma alama za nyakati. Siasa za hivi sasa hazihitaji busara ndiyo maana CCM na serikali hawasiti kuua yeyote pale inapohitajika
People Power ya konyo, usicheze na moto, fanyeni kujaribu kama mnajikuna masaburi ndio mtajua kilichomtoa kanga manyoya. Kama mnataka kuwatumia waliofundishwa na Ally Mohamed Kibao, basi watakutana na wajuzi wenzaoWewe ndiye umekatwa kichwa...
Unauliza swali hili kijinga kabisa ukijiona wewe una akili na uelewa sana kuliko vichwa vya CHADEMA kama kina Tundu Lissu, Adv. Kibatala, John Mnyia, Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu...!!
Kwani akina Waziri Masauni, DCI Kingai, IGP Wambura na DGSI Mombo "must go" kwa sheria na kifungu gani cha Katiba...?
Atawajibishwa kisiasa. Atakuwa impeached na people's power. Si lazima iwe bungeni...
Watanzania tunayo aina yetu ya maisha ya kutatua mambo yetu kwa mazungumzo. Kwa msingi huo, kwenda kinyume ni kutafuta jinai na katika vitu ninavyoviheshimu kwenye nchi hii; ni kutokuchezea mamlaka ya Rais, amani, Uhuru na Usalama wa Nchi. Tusiige demokrasia isiyoendana na historia yetu. 🙏🙏🙏Mtu makini huliangalia jambo kuanzia mwisho kuja Mwanzo na Siyo Kinyume chake
Kwa Katiba ya JMT Hakunaga namna ya kumtoa Rais Kienyeji
Sasa mh Mbowe anaposema Chadema watakuja na hiyo kitu watatumia sheria gani iwapo hata kumkataa Waziri Mkuu hawawezi Kwa yule Mbunge mmoja Aida waliyenaye bungeni
Cha Msingi ni kuhimiza uchunguzi Huru utakaofanikisha kuwapata akina Soka pia na hao Scotland Yard nawakumbuka walivyochunguza mkasa wa Robert Ouko enzi za Moi pale Kenya
Mlale Unono 🐼
Ingelikuwa anatamani hivyo unavyowaza ingeshatokea zamani ila bado anaubinadamu rohoni mwake ni tofauti na nyinyi mnaowaza kuteka na kuua kila siku kwa kuwatumia policcm na usalama wa taifa ndio maana kila siku mbinu zenu ni chafu juu ya uongozi wenu hampendi kuona upinzani unakuepo.Mbowe anatamani kuona damu inamwagika ila kamwe hatofanikiwa
Samia must go!Mtu makini huliangalia jambo kuanzia mwisho kuja Mwanzo na Siyo Kinyume chake