zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Source huna?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gentleman,Source huna?
nakuelekeza siasa, unadai naweweseka 🤣Mbona unaweweseka mwenyewe
HawajielewiHaijulikani ni shinikizo la wafadhili wao, imani potofu za kishirikina, ramli au muujiza umewatokea...
Hata hivyo awali kulika na migawanyiko baina ya viongozi waandamizi wa Chadema kuhusu slogan ya Samia must go, kwamba kivyovyote Lazima itaambatana na fujo na isingewezekana kua ya amani.
Lakini viongozi wengine walienda mbali zaidi na kudai kwamba tangazo la maandamano lilifanyika kwa mihemko bila tahmini ya kina, na hivyo Samia Must Go Ilikua ni kwenda kinyume na misingi ya kidemokrasia ya chama hicho..
Kupitia barua yao ya usiku wa manane kwa jeshi la polisi iliyoonekana leo, inaonyesha kuna mabadiliko ya kimyakimya au ya kuzinduka usingizini yamefanyika dhidi ya dhima, dhumuni na nia ya maandamano ya kuvuruga amani ya fujo ya Samia must go.
Sasa eti yamebadilika na kua sijui maandamano ya nini vile? Huenda Chadema hawajui hata wanadai wala wanatetea nini. Na Tatizo ni dhahiri Uongozi wao..
kiufupi kwa maoni yangu hawezi kufanikiwa wala kuruhusiwa kuandamana kabisa.
Na upo uwezekano mkubwa sana wakaahirisha maandamano hayo, kwasababu moja haikai, mbili haikai miongoni mwao.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
For sure,unaposeama must go. Ni nin maaan yakr? ina maana wewe unachochea mapinduz. hatuwez jua pengine muna silaha mumeficha. so ni uhaini. must go. pluralic yake ni lazima. kwa nin unasema lazima ? ina maana una nia ovu unayoilqzimisha. wenye akili watatulia majumban mwao
mambo mengine ya ajabu sana,Hawajielewi
Nilitegemea waje na samia must go ili tuwapelekee moto kuanzia na FFU mpaka kesi ya uhaini
Mwenye hatia hukimbia hata asipokimbizwa😂Mbona unaweweseka mwenyewe