Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Attachments

  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    382.4 KB · Views: 1
Mbona unaweweseka mwenyewe
nakuelekeza siasa, unadai naweweseka 🤣

hao wanao badilikabadilika kama kinyonga, wanatetemeka sio? Maana inaonekana moja haikai, mbili haikai 🤣

halafu baadae wanaweza kuyaahirisha pia maandamano hayo, maana hawajui nini wafanye au wanafanya 🤣
 
unaposeama must go. Ni nin maaan yakr? ina maana wewe unachochea mapinduz. hatuwez jua pengine muna silaha mumeficha. so ni uhaini. must go. pluralic yake ni lazima. kwa nin unasema lazima ? ina maana una nia ovu unayoilqzimisha. wenye akili watatulia majumban mwao
 
Haijulikani ni shinikizo la wafadhili wao, imani potofu za kishirikina, ramli au muujiza umewatokea...

Hata hivyo awali kulika na migawanyiko baina ya viongozi waandamizi wa Chadema kuhusu slogan ya Samia must go, kwamba kivyovyote Lazima itaambatana na fujo na isingewezekana kua ya amani.

Lakini viongozi wengine walienda mbali zaidi na kudai kwamba tangazo la maandamano lilifanyika kwa mihemko bila tahmini ya kina, na hivyo Samia Must Go Ilikua ni kwenda kinyume na misingi ya kidemokrasia ya chama hicho..

Kupitia barua yao ya usiku wa manane kwa jeshi la polisi iliyoonekana leo, inaonyesha kuna mabadiliko ya kimyakimya au ya kuzinduka usingizini yamefanyika dhidi ya dhima, dhumuni na nia ya maandamano ya kuvuruga amani ya fujo ya Samia must go.

Sasa eti yamebadilika na kua sijui maandamano ya nini vile? Huenda Chadema hawajui hata wanadai wala wanatetea nini. Na Tatizo ni dhahiri Uongozi wao..

kiufupi kwa maoni yangu hawezi kufanikiwa wala kuruhusiwa kuandamana kabisa.

Na upo uwezekano mkubwa sana wakaahirisha maandamano hayo, kwasababu moja haikai, mbili haikai miongoni mwao.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hawajielewi
Nilitegemea waje na samia must go ili tuwapelekee moto kuanzia na FFU mpaka kesi ya uhaini
 
unaposeama must go. Ni nin maaan yakr? ina maana wewe unachochea mapinduz. hatuwez jua pengine muna silaha mumeficha. so ni uhaini. must go. pluralic yake ni lazima. kwa nin unasema lazima ? ina maana una nia ovu unayoilqzimisha. wenye akili watatulia majumban mwao
For sure,
hivi nani anaweza kuwaamini tena watu hao wa Samia must go,

eti ghafla usiku wa manane leo, wanakuja na lugha ya maandamano ya amani.

nadhani hawafahamu nini hasa wanatetea hawa jamaa..

Yaani jana ulikua jambazi,
Leo unakua Nabii na unaombea watu?🤣
 
Hawajielewi
Nilitegemea waje na samia must go ili tuwapelekee moto kuanzia na FFU mpaka kesi ya uhaini
mambo mengine ya ajabu sana,
na ndio maana nawaeleza kwamba pale Chadema kuna ombwe la Uongozi wa juu wa Chama...

Yaani jana umetangaza maandamano haramu ya fujo ya Samia must go, umekatazwa na umepigwa marufuku,

halafu eti leo usiku wa manane, wewe huyo huyo wa fujo, utangaze maandamano ya Amani, halafu uruhusiwe?

Umebadilika lini mpaka kua mtu wa amani hivyo kutoka mtu wa fujo?🤣
 
Back
Top Bottom