Mbowe na dhana iliyotiliwa shaka huko nyuma

Mbowe na dhana iliyotiliwa shaka huko nyuma

endesha

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
1,297
Reaction score
1,877
Najua Naweza kushambuliwa na ambao wanahisi matusi kwamba ndio hoja. Badala ya kutumia ukosoaji Kama SoMo lakini.Naomba kuwauliza.

Hivi Mheshimiwa Mbowe, Hana washauri.Na hii ni kupitia kauli yake ya kushauri Serikali kutoa chanjo kwa Lazima badala ya msimamo wa Serikali kwamba chanjo Ni hiari.

Watanzania hawataki kusikia habari za chanjo. Na hata hii ya Serikali kufanya Ni hiari bado wanaitupia lawama na kuishambulia.Iwe hii ya kufanya chanjo Ni Lazima!!!.

Nimeona mtandaoni reaction ya watu kupitia kauli yake. Itoshe tu kusema kwamba wengi amewaangusha.

Na si Mara ya kwanza.Hata awamu iliyopita pia alikua na msimamo ambao Naamini ulikua Ni wa chama kwamba Kuwepo na Lockdowm nchi nzima.Kitu ambacho ilikua pia Ni tofauti kwa wananchi wengi.

Kupitia haya machache ndio msingi wa Tittle yangu kwamba zile hoja ya kwamba Pengine Ni yupo hapo kwa maslahi ya watawala amaa??
 
Hata shangazi naye kamshangaaa!! Mbowe nilimuweka kati ya watu wenye akili kubwa lakini sasa anaonesha anahitaji kupumzika kupisha vijana kwenye ile nafasi chamani.

Au washauri wanampotosha makusudi?
Aliyemshauri anafanya mapinduzi ya uongozi kisayansi?
 
Akili za wanasiasa changanya na zako.

Leo tunadaiwa 100 huku juzi tu tuliambiwa uchumi wa kati,dona kantiri nk.

Mbowe la chanjo alikuwa amepata mzinga,nilazima wakati hata mitungi ya gesi shida
 
Akili za wanasiasa changanya na zako.
Leo tunadaiwa 100 huku juzi tu tuliambiwa uchumi wa kati,dona kantiri nk
Mbowe la chanjo alikuwa amepata mzinga,nilazima wakati hata mitungi ya gesi shida
Hebu hariri ulichoandika ili ueleweke.
 
Najua Naweza kushambuliwa na ambao wanahisi matusi kwamba ndio hoja .Badala ya kutumia ukosoaji Kama SoMo lakini.Naomba kuwauliza...
Jamaa anajiona anajua kila kitu. Mbona hakuweza kumuokoa kaka yake ambaye sasa ni mwendazake wa covid?
 
Back
Top Bottom