endesha
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,297
- 1,877
Najua Naweza kushambuliwa na ambao wanahisi matusi kwamba ndio hoja. Badala ya kutumia ukosoaji Kama SoMo lakini.Naomba kuwauliza.
Hivi Mheshimiwa Mbowe, Hana washauri.Na hii ni kupitia kauli yake ya kushauri Serikali kutoa chanjo kwa Lazima badala ya msimamo wa Serikali kwamba chanjo Ni hiari.
Watanzania hawataki kusikia habari za chanjo. Na hata hii ya Serikali kufanya Ni hiari bado wanaitupia lawama na kuishambulia.Iwe hii ya kufanya chanjo Ni Lazima!!!.
Nimeona mtandaoni reaction ya watu kupitia kauli yake. Itoshe tu kusema kwamba wengi amewaangusha.
Na si Mara ya kwanza.Hata awamu iliyopita pia alikua na msimamo ambao Naamini ulikua Ni wa chama kwamba Kuwepo na Lockdowm nchi nzima.Kitu ambacho ilikua pia Ni tofauti kwa wananchi wengi.
Kupitia haya machache ndio msingi wa Tittle yangu kwamba zile hoja ya kwamba Pengine Ni yupo hapo kwa maslahi ya watawala amaa??