pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Ritz wallah nakuhakikishia una vinasaba vya upunguani.Eti hatutokubali yaani wao ndiyo wanaona ndiyo wapinzani peke yao, wakati mwingine unaona sawa tul yue muhuni wa Hai alichokuwa anawafanyia.
Majibu kaishatoa Rais kasema hivi...Ritz
Acha porojo. Toa majibu yanayoeleweka, mbona wana CCM mnakuwa hv jamani?
Kwahiyo lile genge la wahuni lililoendesha ukatili ndio ulilololiona la maana sio.Ningewajua wa maana hayo yote mngeyafanya mwaka mmoja uliopita lakini mlitulia kama MNA maji mdomo
Wanao kwamisha taifaa kusonga mbele ndio nyie hasaa. Tena uache porojo unajua.Hivi Samia hamuulizi hata JK kilichomtokea?
Kwamba aliwapa uhuru wa kufanya kila kitu hadi juice za ikulu walikunywa ila wakienda majukwani wanamwita dhaifu?
Ni kweli Mkuu katiba inavunjwa Wananchi wanabung'aa tu.Kama katiba ya sasa ikivunjwa hatuna wananchi wenye guts za kumwajibisha anayeivunja kuna uwezekano tatizo la msingi lisiwe ni katiba.
Huko Chadema, Machaga mnampangia lipi Mbowe ?Aalaaa, kumbe rais huwa hapangiwi eti ee? Umekuja kwenye pointi mwenyewe, ndio maana tunataka katiba mpya ili tumpangie majukumu. Haiwezekani uje utuombe kura nchi nzima then tukupe, ukishakaa kwenye kiti sisi tuliokupa kukaa hapo tusikuhoji chochote wala kukupangia chochote. Misukule ya MATAGA huwa sijui mkoje
Machaga,Dalili za popoma ni kushindwa kujibu alichoulizwa.
Andaman uone nyambaffTunataka katiba Mpya , maneno mazur ya wapi
Upo usemi kuwa usimwamini yeyote,ila peke yako,kwanza hiyo mpya inaogopwa na zaidi inasemekana kufanya kosa sii kosa ila kulirudia,tukirudia makosa tuliyotoka kujifunza hivi karibuni Nii imani yangu kuwa hata baada ya Maisha ya duniani nastahili hukumu kwa kulirudia kosa,msiwe miongoni mwa mtakao rudia kosa.Sasa amekuja mama anaongea nanyi kwa upole
Amekutoweni magerezani
Amefuta makesi yenu
Amewarejeshea mahelaa yenu
Na kwa upole amewambia msubir kuhusu kwa KATIBA mpya
Mumeanza kutoa vitisho hamna hata busara yaani
Uhai wa Mwendazake sasa hivi mngekua mpo pahala salama na viuno vimetenguka
Mpeni Muda mama aweke mambo sawa hatoondoka bila kukuekeeni KATIBA Mpya
# Tunasimama pamoja na MAMA
Una tatizo la kutokujiamini,wewe fanya yako na wao waache wachangie wao kama wao,unataka kuwapangia?Tofauti ipo sababu mie sijawahi jadili mada kwa mrengo wa kidini. Ila hao niliowataja na FaizaFoxy wameibuka kutoka shimoni. Na watakua mwendo wa kutetea kila kitu kwa defence ya dini.
Unaona ni sawa kweli?
Dah! Umeandika kama Shaka Hamdu Shaka vile akiwa anazungumza! huku akiwa amelegeza yale macho yake. 🙄Sasa amekuja mama anaongea nanyi kwa upole
Amekutoweni magerezani
Amefuta makesi yenu
Amewarejeshea mahelaa yenu
Na kwa upole amewambia msubir kuhusu kwa KATIBA mpya
Mumeanza kutoa vitisho hamna hata busara yaani
Uhai wa Mwendazake sasa hivi mngekua mpo pahala salama na viuno vimetenguka
Mpeni Muda mama aweke mambo sawa hatoondoka bila kukuekeeni KATIBA Mpya
# Tunasimama pamoja na MAMA
Huenda nikawa ndio Shaka mwenye any way achana na macho yangu au ya shaga nenda kwenye points zangu MtanganyikaDah! Umeandika kama Shaka Hamdu Shaka vile akiwa anazungumza! huku akiwa amelegeza yale macho yake. [emoji849]
Toa hoja kama mtu mwenye akili yimamu. Hili ni jukwaa la walio na afya njema ya akili.Hivi Bavicha mna akili kweli nyie yaani Mbowe anaongea pumba kwa maslahi yake akili za nyumbu mnafuata tu.