Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Katiba mpya itamsaidia mpaka mama mkwe wako kuboresha maisha yake.ni lini mbowe kaomba jambo lenye maslahi ya familia yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya itamsaidia mpaka mama mkwe wako kuboresha maisha yake.ni lini mbowe kaomba jambo lenye maslahi ya familia yako?
Halafu anataka na katiba ya nchi ajinafasi nayo mpuuzi yule😂Mbowe kwenye katiba ya Chadema vifungu vyote vilivyokuwa anaona vinambana kavitoa. Sasa hivi anajinafasi tu.
Kwa mama hawataweza,yujo si shrewdPunde si punde wataingia mabarabarani na wataanza vurugu za ajabu.
Wataanzisha mikutano isiyo na kibari kisa tu wamebip na kuona we dhaifu.
Yale tuliyoshuhudia awamu ya nne yanakwenda kurudi. Mabomu kulipuka kwenye mikutano, maandamano yanasumbua wananchi kufanya shughuli za maendeleo.
Hiki sio chama chenye nia nzuri na taifa letu, watanzania wanawaza maendeleo. Wao wanawaza maandamano.
My take; Hayati JPM aliona mbali Mbowe na genge lake hawafai hata kidogo.
Heheheh 😂😂😂 wanajiita umma au jopo?Watu sita ndio mnajiita wananchi wote wa Tanzania?
Hoja ipi mnayotaka majibu ni kuwa maza anajenga uchumi kwanza! Unataka hoja zipi na maskini hawana hela sahiziKwamba mtaanza kutumia Polisi, au sio? Acheni uoga wa kishamba, fanyeni siasa acheni kujificha kwenye nguvu ya Polisi, maana naona mwenzako naye anaanzisha uzi akisema amiri Jeshi Mkuu sijui nini...
Uislam umeingiaje hapo? Kasema subirini hata wiki HAIJAISHA mnaanza vibweka, Kwanza lichama lenyewe.lilikwisha potezana badala ya kumshukuru Samia muanze kukijenga upya mnataka vuruguKwani rais anatakiwa afanye kwa utashi wake au katiba na matakwa ya wananchi wake? Tatizo wewe unaangalia mambo kwa jicho la uislamu
Wafuasi wa Mbowe mnafurahisha sana kwani raisi kakataa kuwa katiba siyo muhimu? Yaani Mbowe anavyowapelekesha nyie mnataka rais naye afuate upuuzi wake? Mbowe katoa wapi mamlaka ya kuwa msemaji wa Watanzania?
What do you mean?Kwa mama hawataweza,yujo si shrewd
Katibani lini mbowe kaomba jambo lenye maslahi ya familia yako?
Huo ndiyo ukweliWananchi Wanataka KATIBA MPYA hatwishwi Mtu hapa
Uko sahihi sana ingawa watakutukanaWangeanza na Katiba Ya chama chao Kwanza....! We M/kiti Kang'ang'ana Kwenye Kiti Ka Ruba.
Mkuu hata Mimi naitaka Sana hiyo katiba lakini mtu hajamaliza hata siku Mia watu wakaanza kuhamasishana na kulazimisha mambo, yaani nikama wanatumia.Katiba hii ina mapungufu.
Katiba mpya ni muhimu sana haswa pale kunapokuwa na wananchi wenye guts za kumwajibisha yeyote anayeivunja.
Kama katiba ya sasa ikivunjwa hatuna wananchi wenye guts za kumwajibisha anayeivunja kuna uwezekano tatizo la msingi lisiwe ni katiba.
Uchumi gani kwa huyu malyenge?Lakini uchumi wa kina Mbowe umeimarika.
Nimesikitishwa sana na upuuzi wa CHADEMA. Nawasihi warejee maelekezo ya Profesa Shivji kuwa Katiba haipatikani kwa kukurupuka.Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?...
Kwa akili za ki soda kama hz ngoja nikusamehe bure tuWewe punguani kweli nani alikuambia mimi ni CCM? Mimi ni raia mwema sina chama nakubaliana na Rais Samia, unataka fact gani kwa mtu anayempagia rais jinsi ya kufanya majukumu yake.
Tawire mkuu, akiona wanataka kulianzisha anakuja na kisingizio Fulani watu wanasahau katiba yao, hawamjui huyu mtoto wa mjiniWangeanza na Katiba Ya chama chao Kwanza....! We M/kiti Kang'ang'ana Kwenye Kiti Ka Ruba.
Mleta mada kusema kweli unajiabisha kwa upuuzi ulioandika!Nakushauri Mbowe zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Aalaaa, kumbe rais huwa hapangiwi eti ee? Umekuja kwenye pointi mwenyewe, ndio maana tunataka katiba mpya ili tumpangie majukumu. Haiwezekani uje utuombe kura nchi nzima then tukupe, ukishakaa kwenye kiti sisi tuliokupa kukaa hapo tusikuhoji chochote wala kukupangia chochote. Misukule ya MATAGA huwa sijui mkojeWewe punguani kweli nani alikuambia mimi ni CCM? Mimi ni raia mwema sina chama nakubaliana na Rais Samia, unataka fact gani kwa mtu anayempagia rais jinsi ya kufanya majukumu yake.
Tuambie kwanza ilikuwa wapi miaka 5 ya Magufuli? Au wewe ndo Habinda Seth, Fisadi namba moja umeachiwa huru na Samia?Hivi Bavicha mna akili kweli nyie yaani Mbowe anaongea pumba kwa maslahi yake akili za nyumbu mnafuata tu.