Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wananchi gani mie hii iliopo inatosha! Sihitaji katiba mpya kujipatia riziki yangu ya kila sikuWananchi Wanataka KATIBA MPYA hatwishwi Mtu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi gani mie hii iliopo inatosha! Sihitaji katiba mpya kujipatia riziki yangu ya kila sikuWananchi Wanataka KATIBA MPYA hatwishwi Mtu hapa
Hahahahah aliwa fix!!!Eti hatutokubali yaani wao ndiyo wanaona ndiyo wapinzani peke yao, wakati mwingine unaona sawa tul yue muhuni wa Hai alichokuwa anawafanyia.
Nashangaa 😂😂😂 anafosi watanzania tuonekane tumedai katiba kwa maslahi yao kisiasa watutumie kama mbuzi wa kafaraUislam umeingiaje hapa? Au Mbowe ndiyo kawatuma kujibu pumba.
Nani kampa mamlaka Mbowe ya kuwasemea watanzania?
Aanze kurekebisha katiba ya Chadema kwanza😂😂😂Wananchi wanauliza Mbowe ni Mfalme Chadema? Kila siku kiongozi ni yeye atakayejaribu kugombea anafukuzwa chama alikuwepo wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia, halafu anataka katiba daaah
Huhuhuhuh waache waanze mama atamaliza na siku zote anaemaliza huitwaga katili 😂Wanachodai ni kitu muhimu ila aina ya uwasirishaji wa maombi yao umekua wa kibabe sana..Mbowe na wenzake wasidhani Ss wa Tz ni wajinga kiasi cha kuatarisha amani yetu kwaajili ya maslahi yao..Wakishakunywa Konyagi utaskia tukutane barabarani then yeye anaenda zake Dubai...atuache kwanza.
Hii inaashiria kuwa Mwenyekiti King’ang’anizi ana Ubongo wa Panzi kabisa 😂!!! Kasahau bakuli lake lilimponza awamu iliopitaYani chadema na mbowe wanashangaza sana kwa kukosa shukrani.... yani Rais kuwambia wasubiri kwani ni kosa? Ni lazima Mbowe ajue maneno ya kukera na kutoa amri kwa Rais hayafai na yanadhalilisha taasisi ya URAIS.
Mbowe leo hii ameshasahau?
Huwezi kutekeleza hiyo namba 2 na 3 Kama namba 1 haipo. Katiba mpya ndiyo Mambo yote.Wanaukumbi
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1.Katiba Mpya au kupambana na 2.Janga la Corona na 3.Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?...
Mbowe kwenye katiba ya Chadema vifungu vyote vilivyokuwa anaona vinambana kavitoa. Sasa hivi anajinafasi tu.Aanze kurekebisha katiba ya Chadema kwanza😂😂😂
Kwani rais anatakiwa afanye kwa utashi wake au katiba na matakwa ya wananchi wake? Tatizo wewe unaangalia mambo kwa jicho la uislamu
Umeandika nini?Sikiliza uonevu tulioshuhudia no sababu tosha yakuitaka katiba mpya
Kwani wewe wajuakusoma ama ni kusomee.Umeandika nini?
Wataelewa tu,ngoja tuendelee kuwakunguta kwenzi za kidigitali.Mnvyoongea ni kama vile Mbowe anadai katiba itakaynufaisha familia yake tu.
hakuna chama kinaitwa mbowe na genge lake.Punde si punde wataingia mabarabarani na wataanza vurugu za ajabu.
Wataanzisha mikutano isiyo na kibari kisa tu wamebip na kuona we dhaifu.
Yale tuliyoshuhudia awamu ya nne yanakwenda kurudi. Mabomu kulipuka kwenye mikutano, maandamano yanasumbua wananchi kufanya shughuli za maendeleo.
Hiki sio chama chenye nia nzuri na taifa letu, watanzania wanawaza maendeleo. Wao wanawaza maandamano.
My take; Hayati JPM aliona mbali Mbowe na genge lake hawafai hata kidogo.
Wazoea ubabe katika ubora wao huwaza matumizi ya mabavu kila mara kila wakati,kwao hoja zinawapitia kushoto.Hilo la kuingia barabarani halitokaa litokee,just wait and see! Mama kawa fair sana lakini wao wanaanza kuleta dharau..Magu alikua sahihi sana ma.maaee..