Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Nyie mngekuwa enzi za utumwa... Mngekuwa mshaolewa wote na wazungu..

Fikra zako ni zakitoto sana.. Unafikiria kupitia makalio
Punde si punde wataingia mabarabarani na wataanza vurugu za ajabu.

Wataanzisha mikutano isiyo na kibari kisa tu wamebip na kuona we dhaifu.

Yale tuliyoshuhudia awamu ya nne yanakwenda kurudi. Mabomu kulipuka kwenye mikutano, maandamano yanasumbua wananchi kufanya shughuli za maendeleo.

Hiki sio chama chenye nia nzuri na taifa letu, watanzania wanawaza maendeleo. Wao wanawaza maandamano.

My take; Hayati JPM aliona mbali Mbowe na genge lake hawafai hata kidogo.
 
Mnvyoongea ni kama vile Mbowe anadai katiba itakaynufaisha familia yake tu.
Angalia vitu wanavyodai ndio utajua wapo kwa maslahi yao binafsi hiv nikuulize lini umewahi kuona Tundu lisu kajitolea kupambana kisheria kwa maslahi ya umma mfano kujitolea kisheria against mwananchi anayodai ardhi yake kuporwa na mengine kama hayo.
 
Kama mnufaika wa mazingira ya sasa ama wa ile awamu yenu pendwa sema,porojo hatutaki.
 
Punde si punde wataingia mabarabarani na wataanza vurugu za ajabu.

Wataanzisha mikutano isiyo na kibari kisa tu wamebip na kuona we dhaifu.

Yale tuliyoshuhudia awamu ya nne yanakwenda kurudi. Mabomu kulipuka kwenye mikutano, maandamano yanasumbua wananchi kufanya shughuli za maendeleo.

Hiki sio chama chenye nia nzuri na taifa letu, watanzania wanawaza maendeleo. Wao wanawaza maandamano.

My take; Hayati JPM aliona mbali Mbowe na genge lake hawafai hata kidogo.
Ni kwanini unakimbilia kusema kuwa CHADEMA wanamjaribu Rais Samia kwa kumuona ni Dhaifu na hupongezi Hekima, Utu na Busara ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoheshimu Afya ya Siasa za Demokrasia nchini Tanzania?

Na ni nani alikuambia kuwa Rais Samia akiwa Mkali na Mbabe kwa Wapinzani ( hasa hasa CHADEMA ) ndiyo Ufanisi wake Serikalini utakuwa mzuri na Tanzania itapaa Kimaendeleo haraka mno huku Umasikini ukiisha kama siyo Kupungua kwa Watanzania wote?
 
Wamesema eti wataanza kuandamana na sijui kufanya nini ,wahimizeni waanze maana jela kuna nafasi ya wale waliosamehewa siku za hivi karibuni.
 
Mpumbavu kweli wewe nani alikudanganya nchi ni shwari? Kwa utafiti upi uliofanya na kuhitimisha nchi ni shwari? Lini nchi haikuwa shwari? Na nani alisababisha nchi kutokuwa shwari? Uliandika humu kumpinga huyo aliyesababisha nchi kutokuwa shwari?

Katiba mpya inayoendana na mfumo wa vyama vingi nchini ni HAKI ya vyama vya upinzani na Watanzania kuidai kwa nguvu zote na huyo mama wa kudemka au maccm hakuna popote kwenye Katiba ya nchi au sheria za nchi walipopewa haki ya kuzuia madai hayo. Wewe mpuuzi kama hutaki katiba mpya piga kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.
Wafuasi wa Mbowe mnafurahisha sana kwani raisi kakataa kuwa katiba siyo muhimu? Yaani Mbowe anavyowapelekesha nyie mnataka rais naye afuate upuuzi wake? Mbowe katoa wapi mamlaka ya kuwa msemaji wa Watanzania?
 
Hv watu wa CCM kwani hatuwezigi kuwajibu hawa jamaa kwa facts?

Kwa nini tuwaite genge, ilhali ni watz kama tulivyo sisi wana CCM?

Kwa nini tutumie vitisho / intimidate (Amiri Jeshi Mkuu) wakati wanazungumza kisiasa, kuna haja gani sisi kujibu ki Jeshi Jeshi?

Wana CCM tubadilike, wapinzani hawajahi kuwa na hoja za kutushinda kuwajibu, lkn majibu mepesi mepesi na ya uoga kama haya ndio yanayowapa biiiiichwa lkn jamaa zetu hawa ni weupe kama karatasi
Wewe punguani kweli nani alikuambia mimi ni CCM? Mimi ni raia mwema sina chama nakubaliana na Rais Samia, unataka fact gani kwa mtu anayempagia rais jinsi ya kufanya majukumu yake.
 
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze, cdm hawajawah kususia uchaguzi kwa kisingizio cha katiba wala tume huru ya uchaguzi! Why now??? Je, kuna mwanya mahali wameona wakiutumia watafanikiwa? Je, huko nyuma walikua hawalijui hitaji la katiba mpya?? Political gain.
Ruzuku, Ruzuku
 
Hivi Samia hamuulizi hata JK kilichomtokea?

Kwamba aliwapa uhuru wa kufanya kila kitu hadi juice za ikulu walikunywa ila wakienda majukwani wanamwita dhaifu?
 
Nyie mngekuwa enzi za utumwa... Mngekuwa mshaolewa wote na wazungu..

Fikra zako ni zakitoto sana.. Unafikiria kupitia makalio
Mbona makamu wenu hataki kubanduka kwa amsterdam?

Tunajua alienda kwa kuumwa lakini si kapona?
.
 
Back
Top Bottom