Uwendawazimu dalili mojawapo ni kama unavyoropoka. Huna uwezo wa kujenga hoja?Eti hatutokubali yaani wao ndiyo wanaona ndiyo wapinzani peke yao, wakati mwingine unaona sawa tul yue muhuni wa Hai alichokuwa anawafanyia.
Uhusiano wa swali langu na kuingia barabarani vinauhusiano gani au ndio mwezi mchanga.Machaga,
Wanaume huwa hawaongei sana. Ingia barabarani.
Asipo zao hazifanyi maamuzi ya kitaifa zisikusumbue yaani.Mkuu hata Mimi naitaka Sana hiyo katiba lakini mtu hajamaliza hata siku Mia watu wakaanza kuhamasishana na kulazimisha mambo, yaani nikama wanatumia.
Mfumo dume Kwa mama Samia wanatumia.neno 'ASIPO, ASIPO' nini maana yake? Hilo siliafiki ana mengi ya kurekebisha likiwemo la katiba lakini Kwa mipangilio sio kulazimisha watakavyo wao
Wanaukumbi,
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.
Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.
Nakushauri Mbowe, zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna Mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Mbona hukuona hayo kipindi cha Mwendazake?!Uongozi sio hisani, watu wa taifa hili wanalipa kodi kuwalisha na kuwavisha viongozi, uwajibikaji kwa watu hao ni lazima na muhimu.
We kima niniAndaman uone nyambaff
Ritz na THE BIG SHOW kwa kweli ni watu wa ajabu sana, watiifu kweli kweli!Wewe nawe! CCM ni wa hovyo sana mara nyingi! Eti Maghufuli kafariki ndo umepata uwezo wa kuongea tena humu. Una maslahi binafsi yaliyojikita kwenye chama pengine na familia kuliko uzalendo wa Taifa
Upo sahihi. Kichaa akiingia na panga nyumbani mwako, wapo watakaokimbia nje ya nyumba, wapo watakaotafuta sehemu ya kujibanza ndani ya nyumba.Nchi ni shwari imebadilika kuna uhuru wa kudai katiba kama tulivo pewa haki kwenye katiba ya sasa
Ingekua enzi za Jiwe wacha kuingia barabarani hata huu mkutano usingekuwepo.
Watu walishakimbilia Dubai , Belgium ,Canada,Kenya
Ingekua Jiwe yupo huu mkutano upo karibu na Segerea !
Bahati mbaya huelewi hata maana ya maendeleo.Punde si punde wataingia mabarabarani na wataanza vurugu za ajabu.
Wataanzisha mikutano isiyo na kibali kisa tu wamebip na kuona we dhaifu..
Rais Samia amekuwa tofauti na mtangulizi wake na kuna mabadiliko ameyafanya ndani siku 100 ikiwemo kumuondoa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya aliyekuwa akilalamikiwa. Kumuondoa DPP, kuachia wafungwa ie. Masheikh Uamsho, tumeanza kuona mwanga wa Haki na Sheria.Ritz na THE BIG SHOW kwa kweli ni watu wa ajabu sana, watiifu kweli kweli!
Miaka kumi ya Kiwete walitamba humu hadi watu wakashindwa hata kukohoa...
Nampongeza sana Rais Samia kwa yale aliyoyafanya mpaka sasa.Hilo la kuingia barabarani halitokaa litokee,just wait and see! Mama kawa fair sana lakini wao wanaanza kuleta dharau..Magu alikua sahihi sana ma.maaee..
Katiba ina maslahi gani kwenye familia yako?Katiba
Tatizo hujielimishi. Waulize wenye ufahamu watakuambia TL amewasaidia wangapi kwenyeasuala ya kutafuta mahakamani, tena bila malipo. Na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya wengine kuchangishana na kwenda kumwona hospitalini Nairobi.Angalia vitu wanavyodai ndio utajua wapo kwa maslahi yao binafsi hiv nikuulize lini umewahi kuona Tundu lisu kajitolea kupambana kisheria kwa maslahi ya umma mfano kujitolea kisheria against mwananchi anayodai ardhi yake kuporwa na mengine kama hayo.
Mimi nipo huru sitekwi akili na yeyote.Mateka wa Mbowe hoja zimeisha wanaanza kutaja majina ya watu.