Wewe inaonekana umepungukiwa kuliko unaodhani wamepungukiwa. Hivi unataka Rais afanye kazi kwa matakwa ya nani?Wewe punguani kweli nani alikuambia mimi ni CCM? Mimi ni raia mwema sina chama nakubaliana na Rais Samia, unataka fact gani kwa mtu anayempagia rais jinsi ya kufanya majukumu yake.
Tuliulizwa lini kufahamu vipaumbele vyetu?!Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.
Unaweza kutaja vifungu vya katiba vinavyompa hayo mamlaka unayotaka kutuaminisha hapa kwamba anayo?! Unaweza kutueleza Mbowe na Wafuasi wake wamevunja sheria ipi ya nchi, au ibara ipi ya katiba katika kudai kwao katiba mpya?Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.
Mbona alishasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja.Mama Samia ndio kwanza anamaliza miezi 3 tangu apate urais
Ndani ya kipindi hicho tumeona mabadiliko mengi yanayohusu haki na uhuru ambayo watu wengi wapinzani na wananchi wa kawaida waliyalalamikia...
Mpaka wewe umeibuka leo!!!!Mimi kama mwananchi nahitaji maendeleo, katiba ipo tayari.
Tunataka KATIBA MPYAWanainchi gani wanaotaka katiba? Kama sio genge la wanaufipa.
CHADEMA hawana kitu cha kufanya sasa hivi ni kula kulalaWanaukumbi,
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?...
Lugha tu ile mkuuMbona alishasema yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
Katoka kwenye UMagufuli lini?
We Mataga mbona mnaogopa Katiba mpya kwani Ina sumu au bunduki?Katiba ina maslahi gani kwenye familia yako?
mmemezeshwa mambo ya ajabu tu.
Kenya wana katiba mpya ila njaa na magonjwa yapo palepale
Yani mwizi anakwambia mimi mwizi, wewe unasema lugha tu ile.Lugha tu ile mkuu
Mbowe hajawahi kuwa na akili timamu....ni mtu wa mihemko sana. Yote hii ni kwa sababu ya hasira za wale wabunge wanaowakilisha chama chao bila ridhaa yake maana hawezi tena kuwacontrol kuomba uroda.Wanaukumbi,
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?..
Ulivyokuwa mpumbavu,maandishi yako haya yamedhihirisha umuhimu wa katiba mpya. Haiwezekani mtu mmoja aamue hatima ya watu milioni 60+ kwa jinsi aamkavyo. Mkiitwa wapumbavu,hamtukanwi,mnapewa sifa stahili.Rais Samia amekuwa tofauti na mtangulizi wake na kuna mabadiliko ameyafanya ndani siku 100 ikiwemo kumuondoa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya aliyekuwa akilalamikiwa. Kumuondoa DPP, kuachia wafungwa ie. Masheikh Uamsho, tumeanza kuona mwanga wa Haki na Sheria.
Mbowe na wafuasi wake wanataka kumpangia jinsi ya kuongoza nchi tena kwa vitisho.
Katiba inahusu vyeo?Ma
Matapeli ndo yanataka katiba mpya kwa nguvu,
Wananchi wanataka maisha yao yawe vizuri tu, hayo mambo y katiba hayawahusu.
Kwani nao wanataka vyeo?
Katiba ya chama ndiyo inamruhusu hiyo angekaa bila utaratibu wa chama ndiyo ingekuwa kosa, mbona hamsemi kuhusu uenyekiti wa Prof. Lipumba, Mrema, Cheyo au Mbatia? Tuwe na katiba yenye kujenga misingi ya utawala bora.Wananchi wanauliza Mbowe ni Mfalme Chadema? Kila siku kiongozi ni yeye atakayejaribu kugombea anafukuzwa chama alikuwepo wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia, halafu anataka katiba daaah