Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wewe inaonekana umepungukiwa kuliko unaodhani wamepungukiwa. Hivi unataka Rais afanye kazi kwa matakwa ya nani?Wewe punguani kweli nani alikuambia mimi ni CCM? Mimi ni raia mwema sina chama nakubaliana na Rais Samia, unataka fact gani kwa mtu anayempagia rais jinsi ya kufanya majukumu yake.
Serikali inapata mamlaka yake toka kwa umma, na RAIS NI LAZIMA AFANYE KAZI YAKE KWA MATAKWA YA UMMA, siyo kwa matakwa yake. Rais analazimishwa kufanya kazi kwa matakwa ya umma. Hoja yako ingekuwa je, tamko la Mbowe ni matakwa ya umma, ya kwake pekee yake au kikundi kidogo cha watu?