Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe ni Mandela wa TanzaniaNelson Mandela alishtakiwa na kuhukumiwa kifungo Cha maisha kwa kesi ya Uhaini na utawala dhalimu wa makaburu wa Afrika ya kusini ,
Makaburu baada ya kugundua Mandela Yuko Imara hata gerezani walimshawishi kumuachia huru kwa masharti ya kukubali kutoshiriki ktk harakati za ukombozi !
Mandela aliwajibu Ni heri afie gerezani kuliko kupata msamaha wa Bandia....
VIVA FREEMAN ALIKAEL MBOWE
DONT GIVE UP THE FIGHT
CAUSE NON OF THEM CAN NOT THE TIME.
Wakipuuzi kwako,maan wafuasi wa CHADEMA uwezo wenu wa kupambanua mambo uko chini SanaYaani ule ushahidi wa kipuuzi ndio umkute mtu na kosa la kujibu.
Wakipuuzi kwako,maan wafuasi wa CHADEMA uwezo wenu wa kupambanua mambo uko chini Sana
Pongezi kwa jaji[emoji23][emoji23]
Waiter lete soda na chocolate
Nikiangalia umati wa watu nimeamini ule
Tatizo la wanaofikiri kwamba wamepatikana na kesi ya kujibu basi haki haijatendeka.Ushabiki unawatafuna watu wengi kwenye jukwaa hili. Watu hawatumii logical reasoning. Wanadhani perceptions na personal feelings ndiyo preponderance of the evidence!
Juzi niliwaonya mashabiki wa Mbowe kuwa kutarajia kwamba leo judge angekuja na no-case-to-answer ruling lilikuwa zoezi la kujipa matumaini hewa!
Wale watuhumiwa wanaoshitakiwa nao Mbowe si walishatoka jeshini,hebu pitia makampuni mengi ya ulinzi,baadhi ni wastaafu wa jeshi je nao hawaruhusiwi kufanya kazi za ulinzi katika makampuni binafsiWengi hamjui Mambo ya mahakama yanavyokwenda.
Tangu mwanzo nilipoona mbowe amejihusisha na watu wa JWTZ niliwaambia mapema sana mbowe hatoboi hi kesi
Rudia kusoma.yaan kwa maelezo ya mashaidi hilo la SILAHA na MADAWA ndio empty kabisa halina mashiko km utakuwa umefatilia mtanange tangu mwanzo utagundua...
Heeehhe eti soda na chocolate.Wakipuuzi kwako,maan wafuasi wa CHADEMA uwezo wenu wa kupambanua mambo uko chini Sana
Pongezi kwa jaji[emoji23][emoji23]
Waiter lete soda na chocolate
Wanategeneza chuki kubwa snCcm itakufa kifo kibaya sana siku moja
Kwa sababu zipi? Amezitaja?Ushabiki unawatafuna watu wengi kwenye jukwaa hili. Watu hawatumii logical reasoning. Wanadhani perceptions na personal feelings ndiyo preponderance of the evidence!
Juzi niliwaonya mashabiki wa Mbowe kuwa kutarajia kwamba leo judge angekuja na no-case-to-answer ruling lilikuwa zoezi la kujipa matumaini hewa!
Nenda naye kaburini ikikupendezaWasingizie sasa kwamba Magufuli ndo Kato maagizo ya kufungwa Mbowe
Kaka mkubwa, you're among the members in this platform I had admired for so long. You had always been able to foresee the unpredictable, but I'm still wondering what had befallen you to expect something different!CHADEMA is the most destroyed political institution in Tanzania political history. God gives his hardest battles to his strongest soldiers. We’re strong, they fear us, they won’t fight us in fair ground. Stay strong mzee Freeman Mbowe, they’ve destroyed U indeed. #MboweSioGaidi
Mbowe hajakutwa na hatia. Amekutwa na kesi ya kujibu. Kwa mujibu au muono wa Jaji anaona ni kuwa kuna makosa yalifanywa na Mbowe. Tusubiri sasa wakati wakijitetea. Time will tellHakuna siku nimewahi kuwa nafuraha Kama siku ya leo,Mimi Kama mpigania haki naipongeza mahakama kwa kumkuta na hatia ghaidi Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tujiandae kwa part two,hakika wafuasi wake hawatosadiki.
#Mbowe ni gaidi
Wapi mahakamaimeseHakuna siku nimewahi kuwa nafuraha Kama siku ya leo,Mimi Kama mpigania haki naipongeza mahakama kwa kumkuta na hatia ghaidi Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tujiandae kwa part two,hakika wafuasi wake hawatosadiki.
#Mbowe ni gaidi