Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe ni Mandela wa TanzaniaNelson Mandela alishtakiwa na kuhukumiwa kifungo Cha maisha kwa kesi ya Uhaini na utawala dhalimu wa makaburu wa Afrika ya kusini ,
Makaburu baada ya kugundua Mandela Yuko Imara hata gerezani walimshawishi kumuachia huru kwa masharti ya kukubali kutoshiriki ktk harakati za ukombozi !
Mandela aliwajibu Ni heri afie gerezani kuliko kupata msamaha wa Bandia....
VIVA FREEMAN ALIKAEL MBOWE
DONT GIVE UP THE FIGHT
CAUSE NON OF THEM CAN NOT THE TIME.