Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Nelson Mandela alishtakiwa na kuhukumiwa kifungo Cha maisha kwa kesi ya Uhaini na utawala dhalimu wa makaburu wa Afrika ya kusini ,
Makaburu baada ya kugundua Mandela Yuko Imara hata gerezani walimshawishi kumuachia huru kwa masharti ya kukubali kutoshiriki ktk harakati za ukombozi !
Mandela aliwajibu Ni heri afie gerezani kuliko kupata msamaha wa Bandia....
VIVA FREEMAN ALIKAEL MBOWE
DONT GIVE UP THE FIGHT
CAUSE NON OF THEM CAN NOT THE TIME.
Mbowe ni Mandela wa Tanzania
 
Nikiangalia umati wa watu nimeamini ule

Ushabiki unawatafuna watu wengi kwenye jukwaa hili. Watu hawatumii logical reasoning. Wanadhani perceptions na personal feelings ndiyo preponderance of the evidence!

Juzi niliwaonya mashabiki wa Mbowe kuwa kutarajia kwamba leo judge angekuja na no-case-to-answer ruling lilikuwa zoezi la kujipa matumaini hewa!
Tatizo la wanaofikiri kwamba wamepatikana na kesi ya kujibu basi haki haijatendeka.
Walete utetezi wao na mahakama itaamua kulingana na ushahidi na utetezi wao.
 
Wengi hamjui Mambo ya mahakama yanavyokwenda.
Tangu mwanzo nilipoona mbowe amejihusisha na watu wa JWTZ niliwaambia mapema sana mbowe hatoboi hi kesi
Wale watuhumiwa wanaoshitakiwa nao Mbowe si walishatoka jeshini,hebu pitia makampuni mengi ya ulinzi,baadhi ni wastaafu wa jeshi je nao hawaruhusiwi kufanya kazi za ulinzi katika makampuni binafsi
 
Hsitoshi tu kusema hana kesi ya kujibu.

Mungu ataiweka wazi kweli yote kwa wote wanaomwamini.

Hata Pontio Pilato alitoa fursa kwa Yesu Kristo ajitetee ili kweli ijulikane.

Ndio sababu Pontio Pilato katika hukumu yake alimtambulisha Yesu kuwa ni " Mfalme wa Wayahudi"

Basi nanyi wapendwa wa Chadema msife moyo.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote kwa uvumilivu hapo mahakamani!
 
Ushabiki unawatafuna watu wengi kwenye jukwaa hili. Watu hawatumii logical reasoning. Wanadhani perceptions na personal feelings ndiyo preponderance of the evidence!

Juzi niliwaonya mashabiki wa Mbowe kuwa kutarajia kwamba leo judge angekuja na no-case-to-answer ruling lilikuwa zoezi la kujipa matumaini hewa!
Kwa sababu zipi? Amezitaja?
 
Mungu mkubwa, ni muda sasa wa kuwaona Boaz na Siro kizimbani.

Kumbukeni Boaz ndiye shahidi muhimu sana kudhihilisha Ugaidi wa mh. Mbowe.

Maana Jaji pamoja na file kufunguliwa kabla ya washtakiwa kukutana ila kaona kosa la ugaidi lipo.
 
Hakuna siku nimewahi kuwa nafuraha Kama siku ya leo,Mimi Kama mpigania haki naipongeza mahakama kwa kumkuta na kesi ya kujibu ghaidi Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa tujiandae kwa part two,hakika wafuasi wake hawatosadiki.

#Mbowe ni gaidi
 
CHADEMA is the most destroyed political institution in Tanzania political history. God gives his hardest battles to his strongest soldiers. We’re strong, they fear us, they won’t fight us in fair ground. Stay strong mzee Freeman Mbowe, they’ve destroyed U indeed. #MboweSioGaidi
Kaka mkubwa, you're among the members in this platform I had admired for so long. You had always been able to foresee the unpredictable, but I'm still wondering what had befallen you to expect something different!

A devil is always shameless. The motive behind this case is evil, and there's no coincidence to this matter. I, personally am still pessimistic, and I'll never get surprised if at all Mbowe will be convicted and sentenced. The remaining story will be whether Mbowe's conviction will be fraudulently procured or not.

May justice prevail one day
 
Hakuna siku nimewahi kuwa nafuraha Kama siku ya leo,Mimi Kama mpigania haki naipongeza mahakama kwa kumkuta na hatia ghaidi Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa tujiandae kwa part two,hakika wafuasi wake hawatosadiki.

#Mbowe ni gaidi
Mbowe hajakutwa na hatia. Amekutwa na kesi ya kujibu. Kwa mujibu au muono wa Jaji anaona ni kuwa kuna makosa yalifanywa na Mbowe. Tusubiri sasa wakati wakijitetea. Time will tell
 
Hakuna siku nimewahi kuwa nafuraha Kama siku ya leo,Mimi Kama mpigania haki naipongeza mahakama kwa kumkuta na hatia ghaidi Mbowe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa tujiandae kwa part two,hakika wafuasi wake hawatosadiki.

#Mbowe ni gaidi
Wapi mahakamaimese
 
Back
Top Bottom