Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Thanks..na kama hamna kesu ya kujibu itakuwa ina maanisha Freeman atakuwa Free yeye na wale wenzake sio?
... that's the meaning; watapokelewa kwa vifijo na nderemo na wake zao, familia zao, mashabiki, n.k. Sasa hapa kidogo kuna issue; ikimbukwe Ling'wenya na Adamoo walikutwa na kinachodaiwa madawa ya kulevya na bastola.

Wanaweza kwenye shauri la ugaidi wakawa huru lakini soon nje ya mahakama wakakamatwa tena kwa ajili ya kesi ya madawa na silaha unless Jaji atajiridhisha suala la madawa na silaha ilikuwa ubambikaji wa polisi kama kawaida yao.
 
Hoja za Mawakili ndio hutoa maamuzi ya kesi yoyote ile kulingana na ushahidi na utetezi uliotolewa mahakamani.

Jaji lake ni kutamka adhabu au uhuru kwa mtuhumiwa.

Kibatala alikuwa na hoja mbili muhimu:

1. Safari ya Mbowe kule Dubai ilikuwa na baraka za dola

2.Huwezi kulipua au kuvunja kitu kisichokuwepo kwenye Mtaa fulani, Barabara fulani, Block fulani, plot fulani au shamba fulani.

Kariakoo au Sinza ni maeneo siyo " mahali"

Unachoweza kukipata kwenye eneo ni Hewa peke yake.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
yaan kwa maelezo ya mashaidi hilo la SILAHA na MADAWA ndio empty kabisa halina mashiko km utakuwa umefatilia mtanange tangu mwanzo utagundua
yaani hii KESI mabwana PGO wamepigwa NJE NDANI km DRAFT tunasema wamepigwa SUPER km ni BOXER wamepigwa KNOCK OUT kali sana kama zile za TYSON kwa watesi wake
au kwa lugha nyepesi tunasema wamepigwa teke la PUMBU hawana hamu
1.jpg

Sent from my SM-G935S using JamiiForums mobile app
 
Tujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
Nina imani itafutwa. Ikiendelea litakuwa tatizo zaidi kwa upande wa mashtaka na implications zake kwa uimwengu wa sheria ni viroja
Ok. Wacha iendelee hata afungwe ni swala la muda tu sababu si watu wote walio upande wake watafungwa. Huwezi kumfunga mtu mmoja ukawanyamazisha wote.
 
yaan kwa maelezo ya mashaidi hilo la SILAHA na MADAWA ndio empty kabisa halina mashiko km utakuwa umefatilia mtanange tangu mwanzo utagundua
yaani hii KESI mabwana PGO wamepigwa NJE NDANI km DRAFT tunasema wamepigwa SUPER km ni BOXER wamepigwa KNOCK OUT kali sana kama zile za TYSON kwa watesi wake
au kwa lugha nyepesi tunasema wamepigwa teke la PUMBU hawana hamuView attachment 2122629

Sent from my SM-G935S using JamiiForums mobile app
... napata shida kidogo; ikionekana hivyo, kwamba yalikuwa madawa na silaha feki, what will be the consequences? Kwamba itaachwa ipite hivyo hivyo?
 
Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.

Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

=========

UPDATES
Mkuu Nyendo Bwana wa Mbinguni akubariki sana.

Tunasubiri Baraka za Mwenyezi Mungu
 
Kimsingi hapa hakuna kesi toka mwanzo lakini Jaji anachofanya ni kufuata maelekezo ya waajiri wake wala Mbowe hana kesi yoyote hapo
 
Hoja za Mawakili ndio hutoa maamuzi ya kesi yoyote ile kulingana na ushahidi na utetezi uliotolewa mahakamani.

Jaji lake ni kutamka adhabu au uhuru kwa mtuhumiwa.

Kibatala alikuwa na hoja mbili muhimu:

1. Safari ya Mbowe kule Dubai ilikuwa na baraka za dola

2.Huwezi kulipua au kuvunja kitu kisichokuwepo kwenye Mtaa fulani, Barabara fulani, Block fulani, plot fulani au shamba fulani.

Kariakoo au Sinza ni maeneo siyo " mahali"

Unachoweza kukipata kwenye eneo ni Hewa peke yake.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Hapa Tz Majaji hawazidi 6 wengine wote ni UVCCM
 
Back
Top Bottom