dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... that's the meaning; watapokelewa kwa vifijo na nderemo na wake zao, familia zao, mashabiki, n.k. Sasa hapa kidogo kuna issue; ikimbukwe Ling'wenya na Adamoo walikutwa na kinachodaiwa madawa ya kulevya na bastola.Thanks..na kama hamna kesu ya kujibu itakuwa ina maanisha Freeman atakuwa Free yeye na wale wenzake sio?
Wanaweza kwenye shauri la ugaidi wakawa huru lakini soon nje ya mahakama wakakamatwa tena kwa ajili ya kesi ya madawa na silaha unless Jaji atajiridhisha suala la madawa na silaha ilikuwa ubambikaji wa polisi kama kawaida yao.