Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Wengi wao wanataka mahakama isiwe huru hata kidogo. Wanataka Jaji aamue wanavyotaka.

Jaji anatakiwa apitie jalada na kuangalia ushahidi uliotolewa na wala sio kutoa maamuzi kwa kusikiliza presha za wafuasi wa wanasiasa.

Mahakama inatakiwa kutoa maamuzi bila kupata presha.
 
Mimi ni mweupe kabisa kuhusu mambo ya Sheria na Mahakama..je FAM akikutwa na kesi ya kujibu what is next??..
Atatakiwa ajitetee dhidi ya tuhuma hizo. Inaweza kuwa mbaya zaidi kwa serikali maana kuna mambo yataivua nguo ukiwepo uwezekano wa DCI wa zamani kuitwa kutumika kama shahidi wa utetezi maana ametajwa lakini hakutumika na Sirro pia
 
Waiting for the best but expecting the worst.
 
  • Masikitiko
Reactions: Pep
Sasa mkuu yule mwanamama mwenye GROCERY shaidi HURU wa mchongo kashasema akisimama na kukaa SAHINI zake zinatofautiana sasa kuna nini hapo ikiwa vielelezo vyaonesha ni SAHINI za watu wa wawili tofauti
na huyo ndio mmoja wa mashaidi muhimu km itafunguliwa KESI ya SILAHA na MADAWA
na yule mama hawezi kukumbuka tena ule USHAIDI wa Uongio aloutoa mara kwanza

sasa mkuu wangu unadhani kwa kibatala atatoka yule mama km si kugikwa na SIKU ZAKE GHAFRA
unajua kwanini wamesitisha kuleta mashaidi wengine 7bu kibatala kabadili mbinu now anawapeleka SHOW siku 3 mpk 4 sasa shaidi wa uwongo kwa siku 1 uwezi kujiandaa kwa kesho yake
halafu mzee mzima kibatala anakupeleka mbele anakarudisha nyuma anaenda katikati ushawahi kuona SERIEZ fulani inaitwa LOST basi MZEE mzima kibatala anakupeleka kama ile SERIES na ukijichanganya kwenye JIBU basi buana hilo jibu linazua maswali kibao ya papo kwa hapo yaan wewe hata ukijikuna kudadeki linakuja swali hapo mbaya zaidi ni la kisheria sasa na huna ujanja utajibu ukikataa utasikia MHESHIMIWA JAJI NAOMBA ANIJIBU ha ha ha utajibu tu kiunyonge si ushayakoroga
hapo lazima uombe poo uende UKANYE ndio urudi kizimbani ama sivyo utaumwa kichwa kudadeki

Sent from my SM-G935S using JamiiForums mobile app
... Adv. Kibatala noma sana! Ana uwezo wa hali ya juu sana kuwavuruga mashahidi wa kuungaunga!
 
Wengi wao wanataka mahakama isiwe huru hata kidogo. Wanataka Jaji aamue wanavyotaka.

Jaji anatakiwa apitie jalada na kuangalia ushahidi uliotolewa na wala sio kutoa maamuzi kwa kusikiliza presha za wafuasi wa wanasiasa.

Mahakama inatakiwa kutoa maamuzi bila yupata presha.
Sasa mbona wewe umeonesha uamuzi wako wa upande wa CCM!
Ukweli ni kuwa muda ni mfupi sana kuweza kutoa uamuzi wa kesi kisheria, wamekaa mahakamani kwa zaidi ya miezi mitatu kisha uamuzi unatolewa ndani ya saa 96!
 
Mimi ni mweupe kabisa kuhusu mambo ya Sheria na Mahakama..je FAM akikutwa na kesi ya kujibu what is next??..
Utetezi watajitetea kwa kuleta mashahidi. Hapo usishangae mpaka Chifu Hangaya akaitwa mahakamani
 
Uzuri wakongwe wote tunajuana Kwa tabia na vionjo. Ukiona mwandiko tu hata kama kabadili ID unajua huyu ni John au Daudi
 
Thanks..na kama hamna kesi ya kujibu itakuwa ina maanisha Freeman atakuwa Free yeye na wale wenzake sio?
Yap na ule msururu wa maaskari magereza na magari yao mabovu yatarudi gerezani, Mbowe na walinzi wake watapanda V8 la Mbowe kurudi nyumbani
 
Hadi sasa Hakuna shahidi aliyeonyesha Mbowe anayo kesi ya kujibu
 
Back
Top Bottom