Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Uamuzi ukiwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu TBC, magazeti ya serikali na kijibwakoko cha uhuru vitaweka vichwa vikubwa vya habari kwa mara ya kwanza.
 
Kwa huo ushaidi uliotolewa mahakan na serikali, pasipo kuepo mashinikizo yoyote ya kisiasa, apo hakuna kesi ya ugaidi walla uhujumi uchumi, walla unyang'anyi……...na ndiyo maana tulio wengi tunaomba hii kesi inde adi mahakama ya rufaa, ili tujajue mapungufu mengi yanayo fichwa fichwa na system
 
Uamuzi ukiwa Mbowe na wenzske wanakesi ya kujibu TBC, magazeti ya serikali na kijibwakoko cha uhuru vitaweka vichwa vikubwa vya habari kwa mara ya kwanza.
Kwa mara ya kwanza jina la Mbowe kuandikwa😅😅
 
Alichonifurahisha Mbowe ni msimamo wake wa kutokukubali kwake kutoka kwa masharti.
 
Me natamani wakutwe na kesi ya kujibu ili tuone wakina kibatara wanavyopangua maswali ya wakina Kidando.
 
... napata shida kidogo; ikionekana hivyo, kwamba yalikuwa madawa na silaha feki, what will be the consequences? Kwamba itaachwa ipite hivyo hivyo?
Madawa siyo sehemu ya kesi na wala hayakuwakilishwa mahakani kama ushahidi.

Inavyoonekana hata baada ya kuachiwa watawafungulia kesi ya madawa huko Moshi ..... Nafikiri nia yao ni kuzuia Makomando kufanya kazi ya ulinzi Upinzani ...... Ndiyo maana Katiba mpya ni suluhisho ya haya mambo ya kikatili. Yaani wanakufukuza kazi halafu wanakuzuia kupata riziki kwa njia zako nyingine. Imagine moja wao alikuwa mbeba zege kwenye SGR ....!!
 
Tujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
Msamaha hakuna na kutoka anaenda kutoka! Maagizo yameondolewa juzi.
 
Tujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
Mtesi atayafanya aliyoyapanga gizani lakini Mwenyenzi Mungu atamlipa mtendewa mara saba kwani ni jambo la muda tu
 
Back
Top Bottom