Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.

Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

=========

UPDATES
KESI yenyewe inasemakana itaanza saa 8 mchana, mbona mbali sana
 
Kuna mawili hapo
1. Wanasubiri watu kimuhemuhe kipungue.. Watu wachoke kusubiri.. Hukumu isomwe late..maamuzi yatoke jioni halafu wawaachie kimyakimya

2. Inatafutwa sababu genuine lakini ya mchongo kesi iahirishwe mpaka next week ili kutoa nafasi ya kupima joto la jamii na kufanya assessment
 
yote ni majibu sahihi
 
Mlioko eneo la tukio vip tena ?? saa tano kasoro 9 kimyaaa tu.
 
Let the truth, justice and equality prevails,Freeman we live once and we die once,live your life and respect those who are in powers, that's the word from God
 
Respect those in power? sio tena To stop terrorismbehaviour??

Walikuwa in power akina Ndugai na Balozi Dr Ali Bashiru yako wapi?
 
Back
Top Bottom