Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaJaji kaingia mitini
Kwa mara ya kwanza jina la Mbowe kuandikwa😅😅Uamuzi ukiwa Mbowe na wenzske wanakesi ya kujibu TBC, magazeti ya serikali na kijibwakoko cha uhuru vitaweka vichwa vikubwa vya habari kwa mara ya kwanza.
Update bado mpaka sasa ... Sidhani kama hii hali ni ya kawaidaNafasi ya 1, nikisubiria kwa hamu kubwa kuona kati ya giza na mwanga, kipi kitashinda.
Nchi imesimama; watu tunasuburi kwa hamu kuu uamuzi wa Jaji.Update bado mpaka sasa ... Sidhani kama hii hali ni ya kawaida
Me natamani wakutwe na kesi ya kujibu ili tuone wakina kibatara wanavyopangua maswali ya wakina Kidando.
Mkuu swali la nyongeza tafadhali, kujitetea kunaongozwa na Mawakili au watamwanchia Mwamba atiririke.....japo ni maombi yangu leo iwe siku njema kwa Kamanda na Makomandoo kufurahia na familia zao..... ataanza kujitetea.
Madawa siyo sehemu ya kesi na wala hayakuwakilishwa mahakani kama ushahidi.... napata shida kidogo; ikionekana hivyo, kwamba yalikuwa madawa na silaha feki, what will be the consequences? Kwamba itaachwa ipite hivyo hivyo?
Msamaha hakuna na kutoka anaenda kutoka! Maagizo yameondolewa juzi.Tujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
Jaji katoka nje kupiga simu kidogo. Bahati mbya anayempigia simu haipatikani. Tutakaa haoa jukwani hadi usiku.Update bado mpaka sasa ... Sidhani kama hii hali ni ya kawaida
Naona leo umemuwai #Bwashee, nadhani bado ajagawiwa Mgao wa bandoNafasi ya 1, nikisubiria kwa hamu kubwa kuona kati ya giza na mwanga, kipi kitashinda.
Mtesi atayafanya aliyoyapanga gizani lakini Mwenyenzi Mungu atamlipa mtendewa mara saba kwani ni jambo la muda tuTujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
Kama Mungu anakufaga kama jiwe la chattle hayo yatatokea! Na kama yakitokea tujiandae kwa msiba mwingine wa kitaifa. Mungu hadhihakiwiLeo FAM hatoki.. watamkuta ana kesi ya mchongo ya kujibu