Sasa mkuu yule mwanamama mwenye GROCERY shaidi HURU wa mchongo kashasema akisimama na kukaa SAHINI zake zinatofautiana sasa kuna nini hapo ikiwa vielelezo vyaonesha ni SAHINI za watu wa wawili tofauti
na huyo ndio mmoja wa mashaidi muhimu km itafunguliwa KESI ya SILAHA na MADAWA
na yule mama hawezi kukumbuka tena ule USHAIDI wa Uongio aloutoa mara kwanza
sasa mkuu wangu unadhani kwa kibatala atatoka yule mama km si kugikwa na SIKU ZAKE GHAFRA
unajua kwanini wamesitisha kuleta mashaidi wengine 7bu kibatala kabadili mbinu now anawapeleka SHOW siku 3 mpk 4 sasa shaidi wa uwongo kwa siku 1 uwezi kujiandaa kwa kesho yake
halafu mzee mzima kibatala anakupeleka mbele anakarudisha nyuma anaenda katikati ushawahi kuona SERIEZ fulani inaitwa LOST basi MZEE mzima kibatala anakupeleka kama ile SERIES na ukijichanganya kwenye JIBU basi buana hilo jibu linazua maswali kibao ya papo kwa hapo yaan wewe hata ukijikuna kudadeki linakuja swali hapo mbaya zaidi ni la kisheria sasa na huna ujanja utajibu ukikataa utasikia MHESHIMIWA JAJI NAOMBA ANIJIBU ha ha ha utajibu tu kiunyonge si ushayakoroga
hapo lazima uombe poo uende UKANYE ndio urudi kizimbani ama sivyo utaumwa kichwa kudadeki
Sent from my SM-G935S using
JamiiForums mobile app