... that's the meaning; watapokelewa kwa vifijo na nderemo na wake zao, familia zao, mashabiki, n.k. Sasa hapa kidogo kuna issue; ikimbukwe Ling'wenya na Adamoo walikutwa na kinachodaiwa madawa ya kulevya na bastola.Thanks..na kama hamna kesu ya kujibu itakuwa ina maanisha Freeman atakuwa Free yeye na wale wenzake sio?
MUNGU NI MWEMA WAKATI WOTE''Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.
Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022
=========
UPDATES
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Mungu wa mbinguni mbariki Freeman Mbowe
Mungu wa mbinguni awabariki makomandoo!
Kwa lipi?Basi muamini Tundu Lisu!
... Jaji angekuwa ni aina ya akina Kahwa Lugakingira, Nassoro Mnzavas, Barnabas Samatta, et. al. hil shauri lilishatupiliwa mbali zamani sana.
Na atawasaidia mawakili wa serikali washinde kesi hii.MUNGU NI MWEMA WAKATI WOTE''
Kesi itaahirishwa mpka J3Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.
Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022
=========
UPDATES
Jaji lazima apime wapi atapata promotion ya kazi, chadema au serikalini......Mimi simuamini Jaji.
Ndio tatizo nililonalo hilo.
Jaji ananufaika sn na hii kesi anapiga per diem za kutoshaJaji huyu hawezi kutenda haki katika hili shauri.
Tujipe muda saa 11 sio mbali.
Wako kwenye " nyote " bwashee.Wakumbuke na mawakili wa serikali
... that's the meaning; watapokelewa kwa vifijo na nderemo na wake zao, familia zao, mashabiki, n.k. Sasa hapa kidogo kuna issue; ikimbukwe Ling'wenya na Adamoo walikutwa na kinachodaiwa madawa ya kulevya na bastola.
Wanaweza kwenye shauri la ugaidi wakawa huru lakini soon nje ya mahakama wakakamatwa tena kwa ajili ya kesi ya madawa na silaha unless Jaji atajiridhisha suala la madawa na silaha ilikuwa ubambikaji wa polisi kama kawaida yao.
Wako kwenye " nyote " bwashee.
Nina imani itafutwa. Ikiendelea litakuwa tatizo zaidi kwa upande wa mashtaka na implications zake kwa uimwengu wa sheria ni virojaTujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
... napata shida kidogo; ikionekana hivyo, kwamba yalikuwa madawa na silaha feki, what will be the consequences? Kwamba itaachwa ipite hivyo hivyo?yaan kwa maelezo ya mashaidi hilo la SILAHA na MADAWA ndio empty kabisa halina mashiko km utakuwa umefatilia mtanange tangu mwanzo utagundua
yaani hii KESI mabwana PGO wamepigwa NJE NDANI km DRAFT tunasema wamepigwa SUPER km ni BOXER wamepigwa KNOCK OUT kali sana kama zile za TYSON kwa watesi wake
au kwa lugha nyepesi tunasema wamepigwa teke la PUMBU hawana hamuView attachment 2122629
Sent from my SM-G935S using JamiiForums mobile app
Mkuu Nyendo Bwana wa Mbinguni akubariki sana.Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.
Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022
=========
UPDATES
Hapa Tz Majaji hawazidi 6 wengine wote ni UVCCMHoja za Mawakili ndio hutoa maamuzi ya kesi yoyote ile kulingana na ushahidi na utetezi uliotolewa mahakamani.
Jaji lake ni kutamka adhabu au uhuru kwa mtuhumiwa.
Kibatala alikuwa na hoja mbili muhimu:
1. Safari ya Mbowe kule Dubai ilikuwa na baraka za dola
2.Huwezi kulipua au kuvunja kitu kisichokuwepo kwenye Mtaa fulani, Barabara fulani, Block fulani, plot fulani au shamba fulani.
Kariakoo au Sinza ni maeneo siyo " mahali"
Unachoweza kukipata kwenye eneo ni Hewa peke yake.
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Watu wanamtaja sijui Urio sijui Jumanne lakini naungana na wewe aliyemaliza kesi ni Insp Swilla.Swilla alimaliza kazi!
Hakuna kesi pale!
Ile ni silaha halisi na yale ni madawa kweli. Kazi ya mahakama ni kuthibitisha kama ni kweli ni ya Adamoo?... napata shida kidogo; ikionekana hivyo, kwamba yalikuwa madawa na silaha feki, what will be the consequences? Kwamba itaachwa ipite hivyo hivyo?