Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Wamepelekwa shopping Mlimani City
 
Au wameona ni vema watuhumiwa kupelekwa mahakamani baada ya kula cha mchana kabisa
 
....

1157hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani. Kesi itaanza kusikilizwa saa nane za Mchana.
... leo hakuna kesi kusikilizwa bali ni siku ya uamuzi kama wahusika wana kesi ya kujibu au la!
 
Tujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
Hata mimi sitaki waachiwe kwa sasa. Waachiwe baada ya mashahidi wa utetezi kutoa ushahidi wao. Mashahidi hao ni pamoja na IGP Sirro, DCI Boaz, jambazi Sabaya na wengineo.
 
Baadhi ya wafuasi wa Chadema wakiwa katika Mahakama Kuu Divisheni Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, wakisubiri uamuzi wa mahakama wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.

#KesiMbowe #mwananchiupdates https://t.co/YPQXqEucJs
 
Mkuu mawazo yako yako sawa kabisa, why ukum yanye kurasa 1500, inaanza kusomwa by saa nane mchana, ila tumejiandaa KWa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…