Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nyomi Mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022
=========
UPDATES
Wamepelekwa shopping Mlimani CityMahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana
Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.
Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022
=========
UPDATES
1157hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani.
Ili apate maagizo mahsusi kutoka Brussels!!KESI yenyewe inasemakana itaanza saa 8 mchana, mbona mbali sana
Au wameona ni vema watuhumiwa kupelekwa mahakamani baada ya kula cha mchana kabisaMahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana
Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.
Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022
=========
UPDATES
1157hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani. Kesi itaanza kusikilizwa saa nane za Mchana.
Kesi saa nane mchanaSaa 6 mchana hii hakuna updates! Nini kimetokea hapo court?
Kesi itahairishwa leo
... leo hakuna kesi kusikilizwa bali ni siku ya uamuzi kama wahusika wana kesi ya kujibu au la!....
1157hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani. Kesi itaanza kusikilizwa saa nane za Mchana.
ExactlyJaji Tiganga ana nafasi ya kutengeneza jina lake na kurejesha heshima ya Mahakama Leo.
Hata mimi sitaki waachiwe kwa sasa. Waachiwe baada ya mashahidi wa utetezi kutoa ushahidi wao. Mashahidi hao ni pamoja na IGP Sirro, DCI Boaz, jambazi Sabaya na wengineo.Tujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
Mkuu mawazo yako yako sawa kabisa, why ukum yanye kurasa 1500, inaanza kusomwa by saa nane mchana, ila tumejiandaa KWa loloteKuna mawili hapo
1. Wanasubiri watu kimuhemuhe kipungue.. Watu wachoke kusubiri.. Hukumu isomwe late..maamuzi yatoke jioni halafu wawaachie kimyakimya
2. Inatafutwa sababu genuine lakini ya mchongo kesi iahirishwe mpaka next week ili kutoa nafasi ya kupima joto la jamii na kufanya assessment
Ngumu sana kusema hivyo kwasasaHapa Mama hajasema tena wana ushahidi