Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Naomba kufahamu huyu anayetuletea huu uhondo yeye anakuwa pale pale mahakamani? Na je kuna mashine inatype kwa spidi haya tunayosoma au ni mtu anafanya kazi hii? Ubarikiwe Nyendo ubarikiwe katika Nyendo zako.
Unataka watu waanike mbinu za kivita wakati vita inaendelea? Unadhani wote wanafurahia hiki kinscholetwa hapa? Kuna watu walitaka jambo hili lifanyike gizani, tusijue kinachoendelea. Sasa unapihimiza kuanikwa mbinu zinazotumika huwatakii mema watu wema ambao wamekusaidia wewe kujua kila kinachoendelea mahakamani huku wao wakitishwa na wasiotaka wewe ujue kinachoendelea.
 
Tujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
... uko sahihi Mkuu; walichokitaka hawajakipata.
 
Siasa ni sayansi ya ushawishi. Nilionalo mimi ni maamuzi ya leo ya mahakama kuwa Mbowe na wenzake wataonekana wana kesi ya kujibu na kuwataka wajipange kujitetea.

Baada ya hilo, DPP mteule wa Rais atajitokeza na kutangaza kuwa amefuta kesi (Nolle) kwa manufaa ya taifa.

Hapo ndio watajitokeza wana ccm na ACT kusema Rais ni msikivu sana na mwenye huruma. Lengo litakuwa limetimia kwao hata kama wajuzi wa sheria wanajua vinginevyo.

Picha hii itatumiwa sana:
20220217_070136.jpg
 
Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.

Kujua kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

=========

UPDATES
Isaya 54:17

Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.

Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema BWANA.

#MbowesioGaidi
 
Tujiandae kisaikolojia. FAM leo hawezi kuwa huru. Watesi wake bado hawajapata wanachokitaka toka kwake. Wanataka FAM awaombe msamaha kama mbinu ya kumuua kisiasa. Jaji tayari ana hukumu yake mfukoni na maelekezo mezani kwake.
Tujiandae kwa utetezi.
Leo ni siku ya kujua kama ushahidi ilio letwa na upande wa mashitaka unajitoshereza kusimamisha hiyo kesi au uko inefficient kwa hiyo kesi.

kama Jaji ataruhusu kesi iendelee itakua na impact kubwa katika nchi hi, na kuonyesha uhuru wa himili ya mahakama kuingiliwa na mhimili mgine, kwasbb pale hakuna water tighten evidance ya kuchukulia hiyo kesi, zote ni heresay na stori za mchakato wa kukamata watuhumiwa sio ushahidi wa kutenda ugaidi
 
Inaweza kua hivyo lakini wakati utafika tutaongea lugha nyingine.
 
Hatakaa afanye huo ujinga.. Yeye ndio anapaswa kuombwa radhi kwa kubambikiwa kesi mbaya ya ugaidi

Leo ni siku ya kujua kama ushahidi ilio letwa na upande wa mashitaka unajitoshereza kusimamisha hiyo kesi au uko inefficient kwa hiyo kesi.

kama Jaji ataruhusu kesi iendelee itakua na impact kubwa katika nchi hi, na kuonyesha uhuru wa himili ya mahakama kuingiliwa na mhimili mgine, kwasbb pale hakuna water tighten evidance ya kuchukulia hiyo kesi, zote ni heresay na stori za mchakato wa kukamata watuhumiwa sio ushahidi wa kutenda ugaidi

Mimi simuamini Jaji.
Ndio tatizo nililonalo hilo.
 
Siasa ni sayansi ya ushawishi. Nilionalo mimi ni maamuzi ya leo ya mahakama kuwa Mbowe na wenzake wataonekana wana kesi ya kujibu na kuwataka wajipange kujitetea.
Baada ya hilo, DPP mteule wa Rais atajitokeza na kutangaza kuwa amefuta kesi (Nolle) kwa manufaa ya taifa.
Hapo ndio watajitokeza wana ccm na ACT kusema Rais ni msikivu sana na mwenye huruma. Lengo litakuwa limetimia kwao hata kama wajuzi wa sheria wanajua vinginevyo.
Picha hii itatumiwa sana:
View attachment 2122599
Ndio mwelekeo huo si ajabu hizo sarakasi zikatokea leo hii hii
 
Haki huinua taifa.

Mwenyenzi Mungu awawezeshe kutoa maamuzi ya haki.

Ouvu ushindwe milele daima
 
Siasa ni sayansi ya ushawishi. Nilionalo mimi ni maamuzi ya leo ya mahakama kuwa Mbowe na wenzake wataonekana wana kesi ya kujibu na kuwataka wajipange kujitetea.

Baada ya hilo, DPP mteule wa Rais atajitokeza na kutangaza kuwa amefuta kesi (Nolle) kwa manufaa ya taifa.

Hapo ndio watajitokeza wana ccm na ACT kusema Rais ni msikivu sana na mwenye huruma. Lengo litakuwa limetimia kwao hata kama wajuzi wa sheria wanajua vinginevyo.

Picha hii itatumiwa sana:
View attachment 2122599
Naomba iwe hivyo. Ingawa ndoto niliyoota ilikatisha tamaa.

Anyway, Mungu ni mwema, mara husimama ktk hukumu za kweli na haki.
 
Back
Top Bottom