Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Unataka watu waanike mbinu za kivita wakati vita inaendelea? Unadhani wote wanafurahia hiki kinscholetwa hapa? Kuna watu walitaka jambo hili lifanyike gizani, tusijue kinachoendelea. Sasa unapihimiza kuanikwa mbinu zinazotumika huwatakii mema watu wema ambao wamekusaidia wewe kujua kila kinachoendelea mahakamani huku wao wakitishwa na wasiotaka wewe ujue kinachoendelea.