Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

So tutegemee mashahidi 29!Kesi hii itaenda mwaka mzima!
Kwa upande wa mashahidi wa washtakiwa sidhani kama kutakua na drama kama ilivyokua kwa mashahidi wa jamhuri kwa hiyo tutegemee keahi itaenda haraka haraka
 
Ndilo tatizo lenu.
Kwenye mitandao wengi ni mahakimu,majaji,mawakili ,wanasheria.
Jamani nilishawaambia humu kesi haziendeshwi kwa mihemko Wala HASHTAG.
Kesi inapoanza uwa ndogo sana ila kadri muda unavyoenda inakuwa kubwa
Pole sana Kama wanna haki watakuja kuipata
Kwahiyo waliokua wanajadili kesi kwenye mitandao ndo waliokua mawakili wa utetezi?.maana sijakuelewa.Ukiwa na akili timamu unaona kabisa msingi wa kesi ukoje toka mwanzo.kwahiyo kama wamekutwa na makosa yakujibu ni sawa pia ili tuone utetezi wao ukoje.mambo mengine niyakawaida sana mahakamani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye hati za mashitaka kuna kifungu cha PGO au unajua PGO ni kitu gani.
Hahahaa

Hawa ni wanasheria wa mitandaoni mkuu. Hawana wanachokijua. Wala hawaelewi kwamba siyo lazima kukalili kifungu cha sheria bali kufanya kazi kwa mujibu wa sheria.
 
Msiingilie uhuru wa mahakama acheni iamue kama wana hatia au lah walipofungwa kina sabaya mlishangilia leo mnalia lia
Sheria sio sehemu za siri zinafichwa na nguo, sheria ziko wazi kulinda haki za watu.
 
Sijajua kwanini watu wanakuwa na mihemko na kufuata mkumbo hii kesi ishaonekana kabisa kuna kitu kinatafutwa kivyovyote vile still watu wanajipa matumaini hewa hili ni suala la lissu kurudi kuja kuimarisha chama huyu jamaa hawezi kutoka leo wala kesho
 
Unajua maana ya informal job??

We houseboy wako uajiri wake umepitia nssf plus tra??
Mkuu. Usipoteze muda kumuelimisha msukule. Angeanzia na Sheria ya nssf ndio afungue mdomo. Yeye mwenyewe ni house gel asiye na nssf card lkn anataka mlinzi alipiwe
 
Wengi hamjui Mambo ya mahakama yanavyokwenda.
Tangu mwanzo nilipoona mbowe amejihusisha na watu wa JWTZ niliwaambia mapema sana mbowe hatoboi hi kesi
Kwahiyo waliokua wanajadili kesi kwenye mitandao ndo waliokua mawakili wa utetezi?.maana sijakuelewa.Ukiwa na akili timamu unaona kabisa msingi wa kesi ukoje toka mwanzo.kwahiyo kama wamekutwa na makosa yakujibu ni sawa pia ili tuone utetezi wao ukoje.mambo mengine niyakawaida sana mahakamani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hivi watu wanashindwa kujiongeza tu, Mama hapo atakuwa kama Sadio Mane atapiga penalty ya mwisho ata trend hii ni sehemu ya kampeni mambo ya kawaida tu. Mahakama zetu toka lini zikawa zinatenda haki? ziko kisiasa zaidi kama wanavyoteuliwa kisiasa na hili litamalizwa kisiasa mwisho wa siku Sadio Mane atalala na kombe kitandani.
 
Kama hamfuati sheria wakati wa kukamata watuhumiwa nyie ndio wahalifu.
Kesi ilikuwa na ushahidi mzito sana ndio maana kelele zilikuwa nyingi kesi iendolewa pia mawakili kuuliza non sense questions unauliza kwanini mtuhumiwa alipewa chakula wakati anasafirishwa kweli,unamuuliza mpelelezi kama alienda kambi ya jeshi alipokuwa anafanya kazi mtuhumiwa sasa akafanye nini kwani anapeleleza kuthibitisha mtuhumiwa ni mwanajeshi au kuthibitisha kuwa amehusika na kutenda kosa.
 
Mahakama iko sahihi kuna kesi ya kujibu kama hao makomandoo waliajiriwa kama walinzi wa mbowe au Lisu je taratibu za ajira zikizingatiwa? Wakkatwa Kofi ya mapato ya TRA na NSSF kipindi chote cha hiyo ajira yao iwe ya siku moja au wiki au nk sababu ukiajiri kibarua hata kwa Siku moja lazima ukate TRA na NSSF

Hao makomandoo waliajiriwa kwa mkataba UPI? It appears waliitwa kwa ajira IPI hiyo isiyotambuliwa sheria za ajira,NSSF na TRA? Kama siio ugaidi
Kwani wale MATAGA walioajiriwa kipindi kile kumsifia dikteta uchwara zile buku 7 zilikua zinakatwa NSSF na TRA?
 
So tutegemee mashahidi 29!Kesi hii itaenda mwaka mzima!
Kwa upande wa mashahidi wa washtakiwa sidhani kama kutakua na drama kama ilivyokua kwa mashahidi wa jamhuri kwa hiyo tutegemee keahi itaenda haraka haraka
 
Yaani ule ushahidi wa kipuuzi ndio umkute mtu na kosa la kujibu. Mavi kabisa
1645186029662.png
 
Hahahaa

Hawa ni wanasheria wa mitandaoni mkuu. Hawana wanachokijua. Wala hawaelewi kwamba siyo lazima kukalili kifungu cha sheria bali kufanya kazi kwa mujibu wa sheria.
Mbona jaji wenu alikuwa anafanya kazi kwa maoni yake badala ya kufuata sheria?

Kama sheria hazina maana zile mahakama zipo kwa kazi gani?

Mmekutana wajinga mnaoshangilia maamuzi ya kijinga toka kwa jaji ......
 
Back
Top Bottom