Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Hata huyo Hangaya atasema tu ni lini washatakiwa walihukumiwa mpaka akaropokee BBCHapa ndipo kesi ya mchongo itakapoishia, wakipenda wawafunge kutimiza malengo yao lakini watabaki watupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyo Hangaya atasema tu ni lini washatakiwa walihukumiwa mpaka akaropokee BBCHapa ndipo kesi ya mchongo itakapoishia, wakipenda wawafunge kutimiza malengo yao lakini watabaki watupu.
Kwa upande wa mashahidi wa washtakiwa sidhani kama kutakua na drama kama ilivyokua kwa mashahidi wa jamhuri kwa hiyo tutegemee keahi itaenda haraka harakaSo tutegemee mashahidi 29!Kesi hii itaenda mwaka mzima!
Last comment to you,
Kuna MUNGU
period.
Kwahiyo waliokua wanajadili kesi kwenye mitandao ndo waliokua mawakili wa utetezi?.maana sijakuelewa.Ukiwa na akili timamu unaona kabisa msingi wa kesi ukoje toka mwanzo.kwahiyo kama wamekutwa na makosa yakujibu ni sawa pia ili tuone utetezi wao ukoje.mambo mengine niyakawaida sana mahakamani.Ndilo tatizo lenu.
Kwenye mitandao wengi ni mahakimu,majaji,mawakili ,wanasheria.
Jamani nilishawaambia humu kesi haziendeshwi kwa mihemko Wala HASHTAG.
Kesi inapoanza uwa ndogo sana ila kadri muda unavyoenda inakuwa kubwa
Pole sana Kama wanna haki watakuja kuipata
HahahaaKwenye hati za mashitaka kuna kifungu cha PGO au unajua PGO ni kitu gani.
Kumbe wewe ni mjinga tu.
Sheria sio sehemu za siri zinafichwa na nguo, sheria ziko wazi kulinda haki za watu.Msiingilie uhuru wa mahakama acheni iamue kama wana hatia au lah walipofungwa kina sabaya mlishangilia leo mnalia lia
Mkuu. Usipoteze muda kumuelimisha msukule. Angeanzia na Sheria ya nssf ndio afungue mdomo. Yeye mwenyewe ni house gel asiye na nssf card lkn anataka mlinzi alipiweUnajua maana ya informal job??
We houseboy wako uajiri wake umepitia nssf plus tra??
Kwahiyo waliokua wanajadili kesi kwenye mitandao ndo waliokua mawakili wa utetezi?.maana sijakuelewa.Ukiwa na akili timamu unaona kabisa msingi wa kesi ukoje toka mwanzo.kwahiyo kama wamekutwa na makosa yakujibu ni sawa pia ili tuone utetezi wao ukoje.mambo mengine niyakawaida sana mahakamani.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kesi ilikuwa na ushahidi mzito sana ndio maana kelele zilikuwa nyingi kesi iendolewa pia mawakili kuuliza non sense questions unauliza kwanini mtuhumiwa alipewa chakula wakati anasafirishwa kweli,unamuuliza mpelelezi kama alienda kambi ya jeshi alipokuwa anafanya kazi mtuhumiwa sasa akafanye nini kwani anapeleleza kuthibitisha mtuhumiwa ni mwanajeshi au kuthibitisha kuwa amehusika na kutenda kosa.Kama hamfuati sheria wakati wa kukamata watuhumiwa nyie ndio wahalifu.
Kwani wale MATAGA walioajiriwa kipindi kile kumsifia dikteta uchwara zile buku 7 zilikua zinakatwa NSSF na TRA?Mahakama iko sahihi kuna kesi ya kujibu kama hao makomandoo waliajiriwa kama walinzi wa mbowe au Lisu je taratibu za ajira zikizingatiwa? Wakkatwa Kofi ya mapato ya TRA na NSSF kipindi chote cha hiyo ajira yao iwe ya siku moja au wiki au nk sababu ukiajiri kibarua hata kwa Siku moja lazima ukate TRA na NSSF
Hao makomandoo waliajiriwa kwa mkataba UPI? It appears waliitwa kwa ajira IPI hiyo isiyotambuliwa sheria za ajira,NSSF na TRA? Kama siio ugaidi
Kwa upande wa mashahidi wa washtakiwa sidhani kama kutakua na drama kama ilivyokua kwa mashahidi wa jamhuri kwa hiyo tutegemee keahi itaenda haraka harakaSo tutegemee mashahidi 29!Kesi hii itaenda mwaka mzima!
Na wengine walifanya kwa mkopo hadi leo hawajalipwa.Kwani wale MATAGA walioajiriwa kipindi kile kumsifia dikteta uchwara zile buku 7 zilikua zinakatwa NSSF na TRA?
Yaani ule ushahidi wa kipuuzi ndio umkute mtu na kosa la kujibu. Mavi kabisa
Mbona jaji wenu alikuwa anafanya kazi kwa maoni yake badala ya kufuata sheria?Hahahaa
Hawa ni wanasheria wa mitandaoni mkuu. Hawana wanachokijua. Wala hawaelewi kwamba siyo lazima kukalili kifungu cha sheria bali kufanya kazi kwa mujibu wa sheria.