Mbowe: Natamani mrithi wangu kama Mwenyekiti Taifa atoke BAWACHA

Mbowe: Natamani mrithi wangu kama Mwenyekiti Taifa atoke BAWACHA

Ingetosha tu kuandika maelezo
yako bila kukeji uumbaji wa Mungu.
Hujafa hujaumbika.!!
Kiukweli hii saccos hakuna kidume atakayekubali tena kuiongoza kwani haina mvuto tena,sana sana hilo zigo atakabidhiwa mwanamama afe nalo huku akiwa remoted na DJ Makengeza
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha.

Source Tanzania Daima

My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema

Maendeleo hayana vyama!
Watakuwa niwale wakusagana ! Mmoja wao .
 
Wewe mbona hujaolewa kwahiyo na wewe ni msagaji ?
Janjaweed ni ndugu na bangi vile
Ungekua na busara ungepokea ujumbe wangu, bahati mbaya Sana hauna busara Wala uelewa

Halina Hana busara, kauli , matendo vyote vinaonyesha hivyo

Leaders must demonstrate qualities za jamii tunayoitaka
 
Ungekua na busara ungepokea ujumbe wangu, bahati mbaya Sana hauna busara Wala uelewa

Halina Hana busara, kauli , matendo vyote vinaonyesha hivyo

Leaders must demonstrate qualities za jamii tunayoitaka
Ona sasa unaidhalilisha bangi nyie ndio mnaofanya bangi isihalalishwe,Mimi nime reply comment ya kipande punguza ujuaji mwingi we we kaya man.
 
Kwa ujumla wanastahili. Baraza hilo la CHADEMA, ni taasisi imara kuliko zote. Na ukiona kitu kinafanikiwa, ujue uongozi ni imara na wenye maono.
... tena kitu kinafanikiwa katika taabu, karaha, manyayaso na mateso ya kila aina. Ni maono makuu sio maono ya kitoto Mkuu.
 
Kiukweli hii saccos hakuna kidume atakayekubali tena kuiongoza kwani haina mvuto tena,sana sana hilo zigo atakabidhiwa mwanamama afe nalo huku akiwa remoted na DJ Makengeza
Huna tofauti na huyu wewe!
tapatalk_1583681298661.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli hii saccos hakuna kidume atakayekubali tena kuiongoza kwani haina mvuto tena,sana sana hilo zigo atakabidhiwa mwanamama afe nalo huku akiwa remoted na DJ Makengeza
Kama haina mvuto, mbona mnatumia kila mbinu kupambana nayo hadi kufikia katibu wenu kusema hadharani kuwa mtatumia dola kubaki madarakani?
 
Mambo yalivyokuwa mwanzo mwisho mkutano wa Baraza la Wanawake CHADEMA BAWACHA

Source: CHADEMA MEDIA TV
 
Back
Top Bottom