residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kama ilivyo CCM na ushirikina.Itakuwa taasisi yote niyawasagaji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ilivyo CCM na ushirikina.Itakuwa taasisi yote niyawasagaji!
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha.
Source Tanzania Daima
My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema
Maendeleo hayana vyama!
Mbowe ana haki ya kutokumuamini. Kiwango cha hekima na uzalendo cha Mbowe kiko juu mno kulkio cha kwake
Kama vile viccoba ya kijani ikiwa remoted na JIWE, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiiiiiiiiih lolKiukweli hii saccos hakuna kidume atakayekubali tena kuiongoza kwani haina mvuto tena,sana sana hilo zigo atakabidhiwa mwanamama afe nalo huku akiwa remoted na DJ Makengeza
Kama vile lumumba ilivyokuwa ya mashoga na misago lol mweeeeeeeeehItakuwa taasisi yote niyawasagaji!
Mbona kijani wanafirana wengine wameshakuwa addicted wanaumuka hips na makalio, na kuwa wanawake halisi tangu maumbo Hadi tabia woyoooooooooh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watakuwa niwale wakusagana ! Mmoja wao .
Hao wa huko kijani wana busara gani? Khaaaaaaaah we vepeeeeeehUngekua na busara ungepokea ujumbe wangu, bahati mbaya Sana hauna busara Wala uelewa
Halina Hana busara, kauli , matendo vyote vinaonyesha hivyo
Leaders must demonstrate qualities za jamii tunayoitaka
sawa sister Du wa zamaniKiukweli hii saccos hakuna kidume atakayekubali tena kuiongoza kwani haina mvuto tena,sana sana hilo zigo atakabidhiwa mwanamama afe nalo huku akiwa remoted na DJ Makengeza
Ameamua kufikisha ujumbe kwa wanachadema wavaa suruali original kiaina!! Ni kauli ya kukatishwa tamaa na wanaume ambao kila kukicha wanaunga mkono juhudi za mkuu wa kijani. Ni juzi tu katibu mkuu kaunga mkono juhudi.Ni kauli inayohitaji tafakari ya ndani sana.
1. Ipo siku Freeman Aikaeli Mbowe hatagombea tena nafasi ya Uenyekiti - CHADEMA inapaswa kuandaa viongozi
2. Mwenyekiti ana maono ya kuiona CHADEMA ikiiongozwa na Mwanamke; linaweza kuwa wazo gumu kukubalika kwa wengi kwa sababu kadhaa ikiwemo (i) Je kuna mwanamke anayeweza kukidhi uwezo wa kuwa Mwenyekiti CDM - Taifa (ii) Kauli hii inamaanisha nini kwa viongozi wanaume ndani ya CHADEMA ambao wana njozi za kuwania cheo cha Uenyekiti Taifa?
Ni suala la muda tu; Freeman Mbowe bado ana miaka mitano katika cheo cha Uenyekiti.
Two wrongs don't make it right
Siyo busara tu, ni mvuta bangi na msagaji. Hivyo hana maadili wala haiba ya uongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ni KUB na Mwenyekiti hii ni kofia mojaChadema hawana mtindo wa kofia mbili, Lissu atakuwa Rais na mwenyekiti atakuwa mtu mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaa.......... Mwita Waitara alisema wamiliki wa Chadema ni Mbowe na Mdee!Jo umeshaanza kupiga ramli naona
Jr[emoji769]
Baada ya uchaguzi mkuu!
Kaka ushirikina ni imani. Lakini hayo mengine ni matendo ambayo mtu anayafanya dhahiri. Hata wewe tunaweza kukuita mchawi, lakini nani anaweza kuuona au kuthibitisha huo uchawi wako. Uongozi ni namna unavyojipambanua kwa watu unaowaongoza Hivyo huwezi kuutenganisha na maisha unayoishi.Huyo dada yako vizuri kiuongozi, mambo yake binafsi hayatuhusu. Mbona tunao wengine madarakani washirikina wa kutupwa na tumepiga kimya?