Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana huwa hamfanikiwi kwakua mnategemea wanawake.Kwa ujumla wanastahili. Baraza hilo la CHADEMA, ni taasisi imara kuliko zote. Na ukiona kitu kinafanikiwa, ujue uongozi ni imara na wenye maono.
Nani amesema kwamba ni msagaji kwasbbu hajaolewa.Wewe mbona hujaolewa kwahiyo na wewe ni msagaji ?
Janjaweed ni ndugu na bangi vile
EPA ESCROW ni zaidi ya saccos halafu huyu kibaraka hakupata hata sentiCDM ni saccos ila ccm si saccos?
Fvck yall
Haswaaaaaaaah mkuuuuNi kweli kabisa, chadema ina wanawake ambao wako very strong kuliko wanaume!
Mimi naunga mkono, sababu mpaka sasa wanao ondoka CHADEMA kwenda CCM ni wanaume tu, wanawake wapo very comited.Ni kauli inayohitaji tafakari ya ndani sana.
1. Ipo siku Freeman Aikaeli Mbowe hatagombea tena nafasi ya Uenyekiti - CHADEMA inapaswa kuandaa viongozi
2. Mwenyekiti ana maono ya kuiona CHADEMA ikiiongozwa na Mwanamke; linaweza kuwa wazo gumu kukubalika kwa wengi kwa sababu kadhaa ikiwemo (i) Je kuna mwanamke anayeweza kukidhi uwezo wa kuwa Mwenyekiti CDM - Taifa (ii) Kauli hii inamaanisha nini kwa viongozi wanaume ndani ya CHADEMA ambao wana njozi za kuwania cheo cha Uenyekiti Taifa?
Ni suala la muda tu; Freeman Mbowe bado ana miaka mitano katika cheo cha Uenyekiti.
Una laana ya wazazi wewe. Unatukana na kuzodoa makengeza? Kweli wewe una watoto au huwezi kuzaa mtu mlemavu? Mungu anaweza kukubariki ukazaa kituko kutokana na dharau zakoKiukweli hii saccos hakuna kidume atakayekubali tena kuiongoza kwani haina mvuto tena,sana sana hilo zigo atakabidhiwa mwanamama afe nalo huku akiwa remoted na DJ Makengeza
Acha uchochezi, kumbuka hiki ndo chama cha mfano wa demokrasia na kinapigania demokrasia nchini.
Umefikiri kwa nyayo mkuu.Kwa ujumla wanastahili. Baraza hilo la CHADEMA, ni taasisi imara kuliko zote. Na ukiona kitu kinafanikiwa, ujue uongozi ni imara na wenye maono.
Mwenyekiti ajaye mtapewa na Mbowe siyo kuchagua ninyi. Ndo maana anasema atatoka BAVICHA. Ameshamuandaa.Ni kauli inayohitaji tafakari ya ndani sana.
1. Ipo siku Freeman Aikaeli Mbowe hatagombea tena nafasi ya Uenyekiti - CHADEMA inapaswa kuandaa viongozi
2. Mwenyekiti ana maono ya kuiona CHADEMA ikiiongozwa na Mwanamke; linaweza kuwa wazo gumu kukubalika kwa wengi kwa sababu kadhaa ikiwemo (i) Je kuna mwanamke anayeweza kukidhi uwezo wa kuwa Mwenyekiti CDM - Taifa (ii) Kauli hii inamaanisha nini kwa viongozi wanaume ndani ya CHADEMA ambao wana njozi za kuwania cheo cha Uenyekiti Taifa?
Ni suala la muda tu; Freeman Mbowe bado ana miaka mitano katika cheo cha Uenyekiti.
Akistaafu nitajinyonga. Huyu ni wa milele. Mnamwini kauli yake? Ni mbwembwe tu.Mbowe atastaafu baada ya uchaguzi mkuu ndio maana anaandaa mrithi wake sasa!
Sorry where did you learn this kind of English or Who taught you English? Are you sure that the Old Adage you wrote here supposed to be like this?Every sucefully man there is woman behind.
Sijajua kwa Waislamu ila Kwetu Sisi Wakristo katika Kitabu Kitakatifu kabisa cha Biblia Mwenyezi Mungu japo alijua kabisa kuwa hawa hawa Wanawake ndiyo Mama zetu, Shangazi zetu, Dada zetu, Shemeji zetu na Wake au Wapenzi wetu ila alitusisitiza sana Wanaume kuwa tuwe nao makini na hasa hasa tuishi nao kwa Akili kwani Kukupeleka Motoni Kwao ni Jambo la Sekunde tu...