Mbowe: Natamani mrithi wangu kama Mwenyekiti Taifa atoke BAWACHA

Jo umeshaanza kupiga ramli naona
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha.

Source Tanzania Daima

My take; Namuona Halima Mdee akiandaliwa fursa ya kuongoza Chadema

Maendeleo hayana vyama!

Jr[emoji769]
 
Kiukweli hii saccos hakuna kidume atakayekubali tena kuiongoza kwani haina mvuto tena,sana sana hilo zigo atakabidhiwa mwanamama afe nalo huku akiwa remoted na DJ Makengeza
Kama vile viccoba ya kijani ikiwa remoted na JIWE, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiiiiiiiiih lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuwa niwale wakusagana ! Mmoja wao .
Mbona kijani wanafirana wengine wameshakuwa addicted wanaumuka hips na makalio, na kuwa wanawake halisi tangu maumbo Hadi tabia woyoooooooooh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekua na busara ungepokea ujumbe wangu, bahati mbaya Sana hauna busara Wala uelewa

Halina Hana busara, kauli , matendo vyote vinaonyesha hivyo

Leaders must demonstrate qualities za jamii tunayoitaka
Hao wa huko kijani wana busara gani? Khaaaaaaaah we vepeeeeeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameamua kufikisha ujumbe kwa wanachadema wavaa suruali original kiaina!! Ni kauli ya kukatishwa tamaa na wanaume ambao kila kukicha wanaunga mkono juhudi za mkuu wa kijani. Ni juzi tu katibu mkuu kaunga mkono juhudi.
 
Huyo dada yako vizuri kiuongozi, mambo yake binafsi hayatuhusu. Mbona tunao wengine madarakani washirikina wa kutupwa na tumepiga kimya?
Kaka ushirikina ni imani. Lakini hayo mengine ni matendo ambayo mtu anayafanya dhahiri. Hata wewe tunaweza kukuita mchawi, lakini nani anaweza kuuona au kuthibitisha huo uchawi wako. Uongozi ni namna unavyojipambanua kwa watu unaowaongoza Hivyo huwezi kuutenganisha na maisha unayoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…