Uchaguzi 2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

Laana ya uongo na uzushi inatembea. Shetani hachoki . Mungu wetu anatupenda tuko salama dhidi yao.
Mungu ibariki Tanzania na Raisi wetu.
Unamsema yule aliyeingia kwa kura feki?
 
Jumatano si mbali akumbuke kuna wachawi wabobezi kwenye mbogamboga anaweza akapigwa juju, kimbola ama kipamphii.
Nina rafiki yangu anaitwa Pamphilius amekaa kiaina sana, nimeona hii comment nimejikuta nachekaπŸ˜€πŸ˜€
 
Tatizo Mbowe hakujua kutakuwa na mabegi meusi yaliyojazwa kura zilizopigiwa wagombea wa CCM, kuanzia urais, ubunge mpaka udiwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…