Uchaguzi 2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

Naomba niwatahadharidhe wale wanaokusudia kumpigia kura Lissu wasiongee wala kujadili vijiweni. Mabalozi wa shina wa CCM wameelekezwa kuhakikisha kuwa watu hao hawakanyagi vituoni. Posho waliyopewa wanaccm ni kuwa ni heri usipige kura ila uteke wapinzani hasa Chadema watatu na kuhakikisha kuwa hawapigi kura siku hiyo. Posho ni Tshs laki moja.
Hivyo tahadhari ni muhimu. Pia ikiwezekana siku ya kwenda kupiga kura badili njia na muda wa kutoka!
 
Sasa ametumia vipengele gani kuwa waziri mkuu, kutoka kuwa mlevi wa konyagi kuwa Waziri mkuu? Makubwa haya, ngoja tuone hizi bangi za kuvuta ukubwani zitawafikisha wapi?
 
Sasa ametumia vipengele gani kuwa waziri mkuu, kutoka kuwa mlevi wa konyagi kuwa Waziri mkuu? Makubwa haya, ngoja tuone hizi bangi za kuvuta ukubwani zitawafikisha wapi?
 
mtu mzushi kama wewe ukidakwa upigwe virungu utasema unaonewa
mawakala wanalipwa na vyama vyao vya siasa sio tume ya uchaguzi huo uzushi wa watu kulipwa elfu themanini waweza kukugharimu bure,Tume haina bajeti ya mawakala huo ni wajibu wa chama husika tu
 
Haha.

Jambo la ajabu sana, Kijana aliyezoea kuzusha Mambo na kudanganya umma kila siku anataka kuwa waziri mkuu wa Tanzania.

Hii nchi kutakuwa na taharuki kila kukicha kutokana na taarifa za uonga na uzushi kutoka kwa mbowe.

Sawa, May be kweli kwa sympathy ya magufuli anaweza akakuchagua, Lakini T. Lissu hawezi shinda uchaguzi huu.
 

elimu za chadema bana
 
Huyo anaongelea wasimamizi wa uchaguzi na anachosema ni ukweli mtupu
 
 
Impossible event in tz
 
ndani ya saa72 najiiona naenda kuwa dereva Wa Mheshimiwa PM Mwamba Mbowe
 
Nadhani tulipofika kama wako tayari kuua ili Mzee apite, basi hata sisi tutakuwa tayari pia hasa pale HAKI yetu itakapobinywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…