Pre GE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahiyo chama kilipomteua Lisu kugombea uraisi alikuwa hana akili timamu!?
Yaani wamwamini nafas ya urais halafu asifae kwenye uenyekiti wa chama!
Hivi unaakili sawasawa kweli wewe Nyerere?
 
Niwe mkweli, Kijana una kiherehere!!

Hebu pumzisha makalio kijana!! Hivi una tofauti Gani na Giggy money??
 
Niwe mkweli, Kijana una kiherehere!!

Hebu pumzisha makalio kijana!! Hivi una tofauti Gani na Giggy money??
Naona umepotea njia.hii ni hoja kwa ajili ya wenye akili Timamu.kwa hiyo naomba ukae pembeni tu maana mada hii haikuhusu wewe.
 
Hata mimi siku zote najua wewe ni Mlevi usiyejitambua.
Mimi ni mnywaji kwa afya wewe kunywa togwa lako na magimbi ukajambe mbele huko kapuku wewe. Nasikia jana ulikuwa Machame kwa Mbowe ulilewa Mbege ukajitia umwamba ukafakamia Konyagi hadi ukazima migombani sijui kama hawakukuvunja yai huko.
 
Wapi amempaka matope nakumuona hafai?

Ccm mlitakakumuua Lissu kisa kutofautiana mawazo. Leo ccm ndio wapangaji nani awe mwenyekiti chadema.
 
Umechoka wewe na nani. Kumbuka kuna akina Yericko wanasema kuwa hawajachoka, nao ni makamanda pia😂
 
Wapi amempata matope nakumbuka hafai?

Ccm mlitakakumuua Lissu kisa kutofautiana mawazo. Leo ccm ndio wapangaji nani awe mwenyekiti chadema.
CCM wamewekeza bilioni kadhaa kuhakikisha Mbowe anaendelea kuwa mwenyekiti Chadema
 
Chawa wa kibaraka Lisu hawaelewi kabisa kama boss wao.

Bora ufuge mbuzi utakula mchuzi ila binadamu ni hasara.
 
Lucas umevurugwa na Lissu. Sijui kama chakula kinalika. Lissu anajua kuwatwanga hadi umesahau kazi iliyokuweka humu JF.
 
Sioni tofauti yako wewe na mbwa fafanua?/ Jadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…