Pre GE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Kama hujui kitu ni better ukakaa kimya Tu

Una connect taarifa za kuadisiwa Tu,

Nani amekwambia ndege alitafuta Mbowe?

Mbowe si alikuta lissu ashafika General hospital?

Unajua alifikaje General hospital?

Mbowe kafika si wabunge wameshachanga ela ?

Kama hujui kitu kaa kimya Tu
 
Shukrani ya punda mateke. Tundu Lissu ni kama ile hadithi ya ngamia ... kwanza pua .... baadaye masikio ... baadaye uso wote .. .. hatimaye mwili wote hadi mwenye tenti kakosa pa kukaa na kulazimika kuondoka kwenye tenti lake
 
Stupid fish
 
Si ushasema unamchukia? Nini kipya Utaleta kama una chuki? Kwa hiyo mtu akipambania uhai wako basi unakua chawa wake na kuondoa akili yako kabisa akuswage km kondoo? Kila mtu alitimiza wajibu wake na huu pia ni wajibu mwingine hauna uhusiano na mlivyofeli kumuua
 
Chawa wanaomtetea mbowe wanashangaza sana tuendelee kuwakumbusha kuwa huu ni uchaguzi mifano yao haiendani na uchaguzi
 
Hakuna Mwenye akili Timamu anayeweza kubali kuona akatoa kura yake ya ndio kwa lissu na kumuacha Mbowe.
Wajinga pekee ndiyo watamchagua Mbowe licha ya nyie chawa kutumia pesa nyingi kuununua Uenyekiti ili Mbowe kuficha madudu ikiwemo ufisadi
 
Mbowe anatumia pesa nyingi kuwatuma chawa wake kuandika ujinga mwingi mitandaoni akizani watanzania ni wajinga hawajui mapungufu yake hawajui aliyomfanyia zoto wangwe na sasa heche pindi akisikia mtu anagombea uenyekiti, mungu ni mkubwa sana kaamua kumpa wakati mgumu mbowe ili atumie zile pesa zote almbazo amezifuja kwa kipindi kirefu peke yake , uchoyo wake ubinafsi wake umemfanya sasa kutumia mapesa mengi kununua uenyekiti kwa kuwalipa chawa kutengeneza propaganda nyungu zisizo na tija kwani watanzania wameamka wanajua Mbowe anahaha maji yapo shingoni
 
Weed kuingelea CDM kuliko CCM inashangaza upo kwenye payrole ya F nini?
 
Leo unalia ukibubujikwa na machozi ya damu kumtetea Mbowe ukiwa kichaka gani?
Vwawa,mbalizi, Uporoto, mbarali,umalila, songwe au Chunya
 
Mbowe hasafishiki chawa wake endeleeni kula pesa zake tu angalau isaidie kuliko angekula mwenyewe kama alivyokuwa akila miaka yote
 
Kwa mtu anaitwa mwanadamu mm siwezi kushangaa we ndounalijua leo...kila siku unaimbiwa bora umfadhili Mbuzi walau utapata hata chuzi kuliko mwanadamu utaambulia manundu...hilo lisikupe shida LISU KWANZA wema tutajadili baadaye.
Wajibu wako na kufadhili ni vitu tofauti usije na mifano ambayo haiendani, mkila pesa za mbowe msijitoe fahamu bakiza na akilia kidogo
 
Mbowe yupo na ataendelea kuwepo katika Uenyekiti maana chama kinamhitaji Mbowe mwenye uchungu nacho.
Mbowe chama hakimhitaji kwani kafuja pesa zake nyingi na uchungu wa mbowe na kulinda madudu yake ya ufisadi ndiyo maana anatumia pesa nyingi kuwapa nyinyi chawa mkeshe mitandaoni kumsafisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…